Dear wife's
If another man seems more patients attentive or understanding than your husband, relax. “He hasn't lived under the same roof with you”. A man's patience isn't tested through dates, compliments or occasional conversations. It's test through daily responsibilities, repeated disappointments, financial pressures, emotional exhaustion and feeling unappreciated over time. The man you admire from a distance he hasn't carried the weight that your husband has. You may be seeing another man's best moment while judging your husband through the weight that he has carried entire life with you.
2026-08-29 11:56:54
9
Wamee :
asikirize moyo wake
2026-08-29 04:00:22
1
ABDUL :
dahh mapenzi huisha fitina inanguvu ila mwisho wa usaliti majuto
2026-08-29 08:56:37
9
mahame :
Wanawake..
2026-08-29 05:45:56
1
derika john :
aludi kwa mmewake ndoa sio upendo tu cha msingi ni familia aliyo itengeneza amludie Mungu wake nae atamuonyesha njia sahihi ya kufanya
2026-08-29 09:20:01
2
Nira backup 😜💐 :
Nakupenda sana kaka na umenisaidia mengi kwenye maisha yangu na sichoki kukufatilia🫶🙏
2026-08-29 01:29:37
1
bby manka :
Tulia na mumeo,asinge kuwa na kaz je hao watoto watakula majani🥹,labda utuambie yupo busy na kaz then atoi pesa
2026-08-29 04:35:32
5
Majaliwa Sunto :
kwanza anatakiwa amuombe msanaha mumewe hisia kwa mwanamke huja kulingana na mazingira akimuomba msamaha mumewe akikubali basi hata yeye hisia zitarudi sababu atakuwa hiru
2026-08-29 03:16:47
2
Champion Nss :
Aamue Tu Kuwa Upande Mmoja Kuepusha Ili Kuepusha Mmb Mengi
2026-08-30 19:07:39
2
nana irira :
aache ujinga ajaribu kujipa MDA na kumpenda mumewe kama ilivyo mwanzo akwambie mumewe vitu anavyovipenda ili waendeleekupendana
2026-08-29 09:57:15
2
FEARLESS SOUL :
ajikane nafsi yake mwenyewe na awe na majuto ya kwel kutoka ktkt ya moyo..
kwa kufanya hvo atkua na mwanzo mpya.
2026-08-29 06:16:30
0
innocent :
Akae ajitafakari anataka nini alafu ajipe muda ili asije kujutia maamuzi kwasbbb mwanaume hawezi kuowa mwanamke alio acha ndoa yake akamfata haitatokea maan yake akae afikiri kwasana Tena San asitumie hisia zake atoe kabs hapo
2026-08-29 06:00:32
0
Master Sodo :
...ningumu sana kuchukua maamzi ambayo kwa badae itasaidia kwake...atafute kiongozi wadini aseme ukwel ili aitwe huyo mume wake na aliri ili asirudie tena na awehuru na asirudie tena
2026-08-29 01:37:44
2
Raja Mwipi🚙🚗🛻🚐🚚🚛🚌🚕🚘 :
kwanza ajue siku atakae acha mume wake ndio siku atake jua kuwa huyo mwanaume naye mpenda jinsi halivyo
2026-08-29 09:12:14
1
@Vempah-Act✌️🇦🇷 :
wakwanza leo kaka🙂🙂
2026-08-29 01:29:47
1
Heart broken💔 :
Frank wangu 🥰🥰🥰
2026-08-29 01:37:25
1
Ilemshine🥰😍🤪 :
ampende tuuh mmewake usiache kitu au mtu muhimi Kwa furaha ya MDA mafupi langu ndo ILO akielewa atajia nini namaanisha up ndo ushauli wangu japo kua mm bado nimdogo ata sijaolewa WALA mchumba lakini huo ndo ushauli mamaaa baki tuuh na watoto na mmewako na Hakuna mwanaume ambaye atakuja kuoa make wamtu me nakwambia ukweli na Angekua anakujali uyo mapenzi wako WA kazini asingekuona kama mtuh baki so Ludi Kwa memo na watoto utanishukulu
2026-08-29 01:35:39
1
Dєηηic | тαℓкѕ🍂 :
Kuna wakati unaweza usielewe upendo wa mwanaume wako mpaka pale utakapomuona akimpenda mtu mwingine 🫂
2026-08-30 05:38:40
1
user6530275316913 :
je na kesho upendo ukaisha tena huko anakoenda akampenda na mwngne itakuaje
2026-08-30 07:25:54
0
Francis Festo :
😂 mwambie awe mpole,njia itapatikana mume wake atakapogundua icho anachokifanya.
2026-08-31 04:09:55
0
mom G&3b@ :
hiyo nivita kabisa
2026-08-30 15:16:24
0
Princess shady :
Aendelee kusoma nitanshaur nikipata ndoa
2026-08-30 19:17:18
1
Twalibu lsihaka Mkolomi :
Kuhisi tayari ni kosa kwanini akukaa nae watatue matatizo Yao
2026-08-31 11:27:54
0
To see more videos from user @frankmavura, please go to the Tikwm
homepage.