@herbal.queen.womb: Mwanamke huu mchanganyiko ni muhimu sana kwako 🌿 Kinywaji cha Afya cha Mdalasini, Kitunguu Saumu, Tangawizi na Kitunguu Viungo: ● Kitunguu 1 kidogo (kata vipande) ● Punje 3 za kitunguu saumu (saga/pwanya) ● Kipande 1 kidogo cha tangawizi (kata vipande) ● Kijiti 1 cha mdalasini (au ½ kijiko cha chai cha unga wa mdalasini) ● Vikombe 2–3 vya maji Jinsi ya Kuandaa ● Weka viungo vyote kwenye sufuria pamoja na maji. ● Chemsha hadi ichemke vizuri. ● Iache ichemke kwa dakika 15 ili virutubisho vya viungo vitoke vizuri. ● Chuja kisha mimina kwenye kikombe. ● Kunywa ikiwa ya uvuguvugu, ikiwezekana asubuhi au kabla ya kulala. #trend #trending #viarl

Malkia Uzazi Care
Malkia Uzazi Care
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 03:50:59 GMT
141740
3859
152
266

Music

Download

Comments

mrsjave2
Mrs jave😘😘 :
mjamzito analuhusiwa
2026-08-30 10:50:04
3
shaymar33
🦅LOVELYPETER UNITED 🦅 :
natamani kutumia ila nasikia inakondesha sana namm sitaki kukonda ila nataka kupona nisaidieni kimawazo wapendwa
2026-09-01 04:17:24
4
neytemba8
Ney Poultry and Feeds⭐🐓🐔 :
naomba uwaambie na mimba ni dakika0
2026-08-30 17:41:45
5
evelyne.shirima
evelyne shirima :
uwez Amin baada ya kuona Ute umekuwa kama mtind nilimtumia sikumbili sàhiv Amna tena
2026-08-29 08:18:11
15
scholastica5005
Scholastica500 :
nakunywa kwa siku ngapi
2026-09-01 13:04:55
1
muuh.tz._
MUUH Tz _ 💖💖 :
hiii ni kiboko, ilinisaidia sana
2026-08-30 04:38:21
1
gilbert.the.bonse
Gilbert the bonservent. :
kwani ukitumia unaweza kupata mimba au naomba jibu
2026-09-03 18:03:39
2
maria.g.36
maria G 36 :
hcho kirefu kam vijit ni nn
2026-09-01 14:10:27
0
user2819333090775
kulthum🌹 :
alafu unakunywa
2026-09-04 14:57:33
1
mrs676187
Mrs Desire🇧🇮🇹🇿🇿🇲 :
kwani hivyo vyote ulivyo twambia vinaweza toa uvimbe kwenye uzazi? naomba unijibu tafadhali na kingine ukichuja kwenye kikombe unaweza ukaweka hata asali kidogo au inaweza ikaharibu?
2026-09-01 11:21:14
1
jamirasalumu650
Ladymam :
mm nimeitmia wiki moja ni nzr sana hadi kwa bibi kunakuwa kusafi hadiraha
2026-08-30 09:31:40
5
salomesimoni41
salomesimoni41 :
nikitumia pamoja na kitunguu saumu natapika
2026-08-29 12:56:26
4
raheel.336
Raheel 33 :
unavisaga au unachemsha dada angu
2026-08-30 11:16:36
0
salahsalahemanuel
salahsalahemanuel :
je hata mjamzito anaruhusiwa kutumia
2026-09-02 08:52:20
0
user7474822170193
jackline john g@email .coom tz :
mi sielew zinatibu kweli or na je ukiwa period unaweza tumia
2026-08-29 14:46:05
0
vailethi.johnbosk
Vailethi Johnbosko :
mimi nimeitumia nikabeba mimba
2026-08-30 13:23:25
5
missmaa37
miss maa💅🦋 :
jamani mwenzenu niko piliod siku ya 20 saiv naomba msahada nitumie nn maana dawa zimegoma
2026-08-31 14:13:55
0
officialshuu42
official-shuu💞💞 :
kama nikitengeneza nyingi then nikaeka kwenye fridge then nikitaka kutumia nachemsha ni sawa
2026-08-31 15:27:49
0
naahofficiall
naahofficiall :
Hiyo kama vijiti ni nn
2026-08-30 12:21:30
0
zawad.fiselis
mhehe og :
nikitumia sitabeba mimba maan mtoto bado mdogo
2026-08-31 17:07:59
0
liberatus.tonnlee
Ritha liberatus :
kama unamimba unaweza tumia
2026-08-29 16:24:40
0
givanne52
Gyvanne lady :
Doctor mungu akubariki kwa kuwakumbuka na wazinzi
2026-08-31 00:22:35
1
mamsayna.musty
Mamsayna Musty :
uachanganyaje xaxa
2026-08-30 18:40:17
0
winy1287
winy :
jambo !samahani kwa ulizo !naweza vitumiya hata kama mimi ni mjamzito
2026-08-30 15:54:51
0
mwanarashid728
Mwana Rashid :
hivy kama vijit nii nin
2026-08-30 20:41:47
1
To see more videos from user @herbal.queen.womb, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About