@his_safe_space: biryani, chicken, tamarind juice and kachumbari. #fyp #hitiyamurima #FoodTok #kenyanfood #biryani
Hiti ya murima😂
Region: KE
Saturday 29 August 2026 03:59:16 GMT
Music
Download
Comments
Nyaks :
Hii yako ni ya mrima
2026-08-29 06:38:13
31
Lucky :
Please subtitle
2026-09-03 06:45:26
0
Hiti ya murima😂 :
what should i cook next?
2026-08-29 04:02:31
10
Godwin Kioko😊 :
yoghurt huitwa mtindi😁😁 asante hiti
2026-08-29 12:45:55
9
The Subtle Sage :
Hii mkono inakaa ya nani?
2026-08-30 18:15:19
3
Christine Ngina :
mtindi ni nini 🤣
2026-08-29 05:21:46
3
sssss :
nipikie ndoma na waru
2026-08-29 04:10:41
4
GracyKM :
Tupikie tumbukiza
2026-08-29 05:10:45
1
:-!❇𝑉𝑒𝑒⚛☪:-* :
finally but ujanitag😅😅
2026-08-29 04:52:30
5
I'm tabby :
nilikwambia spaghetti 🍝 na minced meat 🍖
2026-08-29 04:05:33
6
carol frank :
hahahaha iyo wako si biriani ya mombasa pengine uko mrima 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-29 06:15:07
4
🎀Muthonie :
finally pika chapo za malenge
2026-08-29 04:51:09
4
Zasua :
Hii nayo sio biriyani unless ni mtungo ya murima
2026-08-29 14:36:23
6
Judith 💗💗💗 :
viazi karai na nbuzi
2026-08-29 04:04:36
4
brilliant brilly :
mtindi ndio nini mkuu😂
2026-08-30 18:21:20
0
lynn :
pika Sasa macaroni Kwa stew
2026-08-29 08:59:34
1
lei_llani :
Hii ni mchele njeri
2026-08-29 20:13:30
1
Vińçé👑 :
Hiti hii yako sio biryani 😂😂😂😂
2026-08-30 06:32:29
1
wendy💜♥️ :
ukwaju n biriyani?🤔
2026-08-29 18:11:24
1
@𝔊𝔩𝔬𝔴𝔮𝔲𝔢𝔢𝔫😋💖 :
😂🤣😂 eti biryani hya ni maajabu
2026-09-02 15:58:31
0
Samanth🥰🥰😍 :
Nipikie ugali na nyama ya gamia
2026-09-01 01:11:20
0
sobilmoh :
hakuna kitu kama hiyo Mombasa au tukiitie wapishi
2026-09-04 03:18:00
0
Mr Mandalia :
karibu karibu
2026-09-03 17:56:34
0
To see more videos from user @his_safe_space, please go to the Tikwm
homepage.