ni kweli kabisa, ukiweza kuacha dhambi hiyo ukajikana mke akawa mwaminifu na wew ukawa mwaminifu hakika utapata baraka sana.
2026-09-01 16:51:51
5
Consorata mashukaaa :
acha tu baba hakuna ane erewa kbs
2026-08-29 09:11:56
2
Sarah John :
ee mwenyezi mungu uturehem
2026-08-29 04:59:21
2
user3527947316496 :
Mungu 🙏 atusaidiye
2026-09-02 14:08:34
1
Diacre Emmanuel :
ukweli kabisa Pastor
2026-08-29 06:33:59
1
Dianne Hendrk :
baba na siku hizi wanaupaka rangi uzizi lli usionekane ni mbaya baba angu
2026-08-29 14:51:41
1
joy baha :
Very true nimeshuhudia hayo
2026-09-03 03:43:37
1
Tinah Tana :
Mung nisaidieee
2026-09-04 19:25:23
1
lady Sophie :
Asante Mungu Kwa kuniokoa na dhambi ya uzinzi 🙌🏻🙏🏻🙏🏻 hakika Mungu ni mwema
2026-08-30 13:10:59
4
Marie Mtambo :
mungu akubaliki sana mchugaji
nikweli kabisa hii zambi imeanza imetawala vibaya na shetani amepaka mafuta hii zambi vibaya
mungu atusaidie Sana tusipo kaa Vizuli tutaikosa mbingu kabisaaa