tunaomba dada zali tukifika eyapoti maajent wawe wanatupeleka ubalonzini Akija boss kukufata Angukute ubalonzini ndoo akuchukue hapohapo ubalonzini itakuwa vizuri sana dada zalii mm sina mengi zaindi ya ombi langu
2026-08-29 12:03:08
6
Rahmath :
kwaio kumbe tukienda ubalozin msaada upo
2026-08-29 06:22:39
1
Zidaa123 :
Ma boss wana kataa kutupeleka ubarozini
2026-08-29 08:43:13
3
Zaituniomary :
asante mungu dafda zari mungu akulipe nope namba zamaajenti
2026-08-30 16:43:04
1
user85910621407961 :
Mishahara vipi
2026-08-31 08:40:26
0
user2626226595086 :
dada zali umependeza
2026-09-02 16:26:23
0
Zahara :
Mm ubalozin sipajui hata nimekuja nimeenda kupimwa nimepewa bataka passport wamechukua khalas
2026-08-30 06:15:48
0
Aishah Ally :
nyumbani kwetu kwamashaghala🥰🥰
2026-08-29 13:34:34
0
Gh Hjj :
safi Sana
2026-08-29 19:44:27
0
bint mahanga :
sasaiv itakua vizur sana Oman mana hata ukipatwa na matatizo unapata msaada
2026-08-29 05:47:57
1
Disminder msangi :
Maashaallah,,tunateseka sana huku omani
2026-08-30 17:09:19
0
Mama baby🇹🇿 vs 🇴🇲 :
muongee vizuri hata maajenti waongee tupatiwe ijaza tunachoka bila ofu😭😭😭
2026-08-29 19:53:24
0
Ana :
Wezetu wakenya wanapelekwa ofisini sisi tunapokelewa nabos njiani tu hujafika et lete paspot I 🤲
2026-08-29 14:19:52
0
asha bakari kazimoto :
mi sijapelekwa ubarozini 😳 na ni vyema pia hao maajenti waliosajiliwa watoe namba zao hata huku kwenye TikTok
2026-08-29 05:39:49
1
Pendo Charles :
dada naitaji kwenda oman kufanya kaz ila sina namba ya angent naomba nisaidie nikatafuta maisha dada
2026-08-29 09:01:29
1
zulekhat :
Hilo ndio linatuumiza tunapokelewa tukipatiwa bataka hatupelekwi ubalozi nakujielezea tunakuwa hatuwezi,naomba namba ya agent anaetambulika ubalozini
2026-08-29 16:28:46
0
c j :
tupo wengi tu hatujapelekwa ubarozin ingawa tunawaambia ila unaona kama wanapuuzia vile maana hawalichukulii sana
2026-08-29 05:36:38
0
Aminamohamedi Kaniki :
Jmn nimependa sale
2026-08-29 10:22:38
0
فضيله سعيد عثمان :
🥰🥰@الله
2026-08-29 10:43:48
0
maryamjuma852 :
cc wamasaloun halituhusu hili nauliza please nasibir jibu mn na na cc tupo uku
2026-08-29 12:11:14
0
it's me srh❤️ :
kwa wale hatuifaam acaunt ya da zari nifanyaje
2026-09-05 06:47:40
0
بنت محمد :
We dada nakupnda sana unatusimamia sana Allah akupe sbra akuepushe na husda
2026-08-29 10:45:51
0
madam :
Nakupenda madam zar😍😍
2026-08-29 12:58:33
0
Momy :
nikwer dada maana tupo weng
2026-08-29 06:10:05
0
To see more videos from user @bijuniorkadama0, please go to the Tikwm
homepage.