me sina Cha kusema ila namuonea huruma fundi umeme na bomba
2026-08-29 11:59:44
295
Travis :
Nimemuonesha muuza matofali wa hapa kwetu anasema ni AI
2026-08-29 12:39:30
107
Otunganan Kenneth Emmanuel :
Don't try this on Tororo blocks
2026-08-29 17:18:35
1
vinnie oyengo :
prices and your location?
2026-08-29 16:21:38
0
medy18648 :
bangizawap iz
2026-08-29 17:37:15
0
h*u*g*o :
zingekua zile biskuti zingebaki saba tu kati ya 300
2026-08-29 08:27:28
81
SMART CLEANERS COMPANY LIMITED :
everything is good arrangement
2026-08-29 10:43:12
1
daillah@ :
hii moxhi
2026-08-29 13:51:09
0
machete3031 :
Watu wengi hawajaelewa kinachoendelea hapo mnatangaziwa kuwa ni tofali ngumu za bei gali tofali moja hapo likiwa bei rahisi sana ni elf 3000 likiwa chini
2026-08-29 12:17:03
65
Manuells :
Kuzijenga sio mchezo hizo 😂😂😂 namuonea fundi wa umeme na bomba 😂
2026-08-29 08:40:07
59
alam autoworks :
zinapatika holili, moshi kilimanjaro😁
2026-08-29 08:27:12
19
Hsy2usduej Zhhsgddhhd :
naitwa magembe muuzaji maarufu wa mahadiwea
2026-08-29 14:12:43
10
❝𝗝𝗨𝗡𝗚 𝗪𝗢𝗢𝗛❞🇽🇰𝟵𝟭𝟭 :
hizi zinafaa kwenye site yenye maji mengi mbdala wa mawe
2026-08-29 08:22:08
19
marry💞💞 :
Eh mungu nibariki na mim siku moja nishushe huu mzigo kwenye kiwanja changu
2026-08-29 13:35:14
22
mc_tamaduni_tz :
sasa hapo nazihesabu vipi au kwenye kunikabidhi tunakadilia tu
2026-08-29 12:36:42
15
ADVOCATE :
WENYE HARDWARE WA DSM wakiona hv wanajua hasara zitapasuka pasuka kumbe we unatoa vitu OG
2026-08-29 07:51:13
66
Raheem HamzaTz :
hiiiii😁😁😁😁
2026-08-29 16:40:59
0
bint yke baba🥰 :
pesa navoipata kwa tabu hvi😳😳😳 halafu uje unifanyie hivi tofali zangu weee tutafikishana mbali wallah 😂😂😂