@amageneous: Muonjaji wa Taifa na Abui Masaki coco beach Dar es salaam piga simu number 0793 999 743 Cc @samaki

Muonjajiwataifa
Muonjajiwataifa
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 06:03:05 GMT
52952
4042
97
72

Music

Download

Comments

bado6514
MUFIID :
mzee wa papa kaona Bora na yeye aongoze msafara wa kuonjaa bwana 🤣🤣🤣🙌
2026-08-29 07:27:30
80
simba_aluminium
simba_aluminium🦺 :
mzee wa papa anapenda kuonjaaa🤣
2026-08-29 08:08:06
8
prince_muhdhar
Prince_Muhdhar :
hii combination iko top 💯💯💯
2026-09-28 05:12:11
4
mercy.alois
Mercy Alois :
hamjamtendea haki mfanya biashara hamjamtangazia biashara ila mnakula tu sijapenda 🥺 hii haitii moyo
2026-08-29 08:22:55
5
bikotz5
#BIKO TZ ZM🇹🇿🇿🇲 :
SEMA inatakiwa muwe wawili hvhvo 😁
2026-08-29 07:17:51
25
owande06
owande06 :
INATIA MOYO😂😂😂😂🤝😂
2026-08-29 07:06:19
17
www.tiktok.comnayasimba
Naya :
😂😂😂 kwahiyo mzee wa papa kaacha kazi yake kaona kuonja raha
2026-08-29 09:06:24
10
abuazlan1404
️👑🇨🇦 :
kula muhogo wangu😂😅💯💯
2026-10-03 08:08:09
6
amereciumfemium
Amerecium Femium :
kuonja Raha mamae😂
2026-09-12 16:21:18
4
meydar_sports
Meydar Sports :
hii combination Eti kula muogo wangu😂😂😂😂
2026-10-01 08:24:57
1
gidionshuma
Maxhudegreat :
Mwonjaji aliona jamaa Anaongea xn😂💔
2026-09-26 12:33:47
5
ashky.love0
ashky love❤️ :
inaonekana mitam wallah mn at kutangaza kashindwaaa muonjaj mashllah
2026-09-26 08:08:57
1
user411leahally
Leah Ally :
Yani mkiwa pamoja ivyo inatia moyo 😂😂
2026-08-29 12:46:49
4
chammah.henna
chammah henna :
samak kwa abui pambe sana
2026-10-05 18:43:07
0
x.rosse.x
Laty💕 :
Nice work 🔥
2026-08-29 06:05:07
0
baba.tza
Marangu Boi :
Mbona hamumtangazi muuzaji mnakula tu🤣
2026-08-29 08:17:17
0
its.sam_sk
Sam sk :
“KULA MUHOGO WANGU”😆
2026-08-29 09:07:12
5
bado6514
MUFIID :
mzee wa papa nae kashakuwa muonjaji 😂😂😂😂😂
2026-08-29 07:27:56
4
_drthink_
dr think_25 :
hii bond 🔥🔥
2026-09-28 21:09:36
0
myoneonly120
𝐃𝐀 𝐘𝐔𝐔 MRS 𝐌𝐔𝐍𝐃𝐇𝐈𝐑 :
mngemuacha atangaze no yke kwnz wengn hawajui kufunguwa caption my dear
2026-09-29 10:52:45
0
bernadattendinda
Bernadatte Ndinda :
watz kwa mapishi wako sawa
2026-10-03 18:34:17
0
nadybeyb
Nadybeyb❤️ :
ila muonjaji umeona anaongea sana😄😄😄
2026-10-03 06:29:28
0
hidersclassicwear
Hider's Classic Wear :
yan hawa
2026-10-09 11:21:17
0
preityriri
RiRi :
muuzaji anatia moyo 🤣
2026-10-06 12:19:38
0
momboys042
mrs R💍😍 :
mimi ni huyoo nilie shika sahani najiramba tuu😂😂😂😂
2026-08-29 06:13:00
0
To see more videos from user @amageneous, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About