@ajumyajumiya: NDOA YANGU 😭🙏#fyp #viral #comedia #couple #couples #lo #Love #videoviral #yp

Ajumy Ajumiya
Ajumy Ajumiya
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 06:08:10 GMT
87120
5268
176
225

Music

Download

Comments

aviwa.ali6
Aviwa Ali :
good by
2026-08-29 18:00:37
0
munasadam4
Tuma sadam :
Wanaume wanachukulia mambo simple simple na hii ni kweli wallah
2026-08-29 06:55:52
59
mzanzibar27
Sadrick haji :
Huyu mwanamke mashallah anakipaji allah amfikishe mbali afanikiwe
2026-08-29 14:42:54
17
kamikazi.salma
Kamikazi Salma :
Leo naunga mkono wifi yangu hakuna kutoka
2026-08-29 08:34:42
20
user1438069859092
mwali mindu 🥀🥀🥀 :
tulio na ukewenza ndio tunailewa hii ambao hamjawahi ingia hamuwezi elewa
2026-08-29 13:04:45
15
hamafhaji
hamadAli :
Kama una mkubali mpemba Kama mimi tujuane Kwa like hapa😍
2026-08-29 06:16:21
29
gamernot038
masala02 :
Mbona haya ni kweli tunapitia
2026-08-29 07:53:59
9
user9177650603493
user9177650603493 :
Mie! Kitawaka! Ataacha Msuli.
2026-08-29 07:10:25
5
zakshii4
zakshii :
hii tabia kweli ipo yakujitia maradhi
2026-08-29 12:29:28
7
nainai7100
Haule’s Daughter🥰🌺🌹 :
Leo nimemuonea huruma Ajumy jmn🥺🥺🥺🥺 ikifika zamu yake tuu ndo visababu mpemba unakosea jmn
2026-08-29 06:28:20
21
fatma.abdallah566
🧕rayah🤍💦 :
yaan kama me utoki wallah
2026-08-29 07:32:35
7
radhiya.mussa1
Radhiya Mussa :
ahhhhh
2026-08-29 08:59:52
2
mrsmoha05
🦋Ummu 💍Yusra💉💕 :
mm roho yangu ndogo😂😂😂
2026-08-30 04:08:19
1
mwanaishaame1
mama ayan :
Usiombe yakukute, yasikie kwa mwenzako tu hii tabia kuna baadhi ya wanawake ambao hawamjui Mola wao, mm yalinikuta na mm nilikua mdogo ila kila ikifika zamu yangu anaumwa yy, tena harudi mume na zamu ndio ishaisha yangu jamani hakuna mume mwenye pepo ya mke tumuombe Allah atupe mwisho mwema inshaallah
2026-08-29 15:09:39
4
vaydepretyvaydepr
vaydepretyvaydepr :
ndio mjue upendo haugawanyike😂
2026-08-29 14:22:33
1
washawasha016
Atitiy :
hiiii kweli. mtu atahaumwi. mradi tu
2026-08-29 07:05:10
5
user8395797050506
user8395797050506 :
Mm wa pili
2026-08-29 06:14:48
6
changukipenzi2
changukipenzi :
Alafu Kuna sisi wakufichwa kama Bangi mwanya ukipatikana tunaanguka nayo🤣🤣🤣hatuna Cha zamu Wala nini🙆🤣🤣🥹
2026-08-29 21:06:42
2
user4381303500668
Binti jei :
Leo shem sikutetei umemdhulumu dadangu hata Mimi sipendi hiyo tabia
2026-08-29 11:04:11
8
millennial.p
Leo🦁🇰🇪 :
ndo maana husema,japo ni sheria lkn wanaume hawaiwezi,.maana hata kama vyumba vinaangaliana mume huruhusiwi kuingia chumba ambacho ushamaliza zamu yake..tabu tupu,..tamaa tu ila hakuna moyo 1,ukapenda 2..tujibane tu tupate hio stara ila hakuna mapenzi..
2026-08-29 13:22:20
1
leylaaseif1
💕🦋Ukhty lela💕🦋 :
haya mambo yapo wallahi
2026-08-29 19:15:36
1
sara.othman81
Sara Othman :
sina cha mwenzio😂😅 mwenzang ni weyeee
2026-08-29 08:35:19
2
user3771500060575
953538 :
ajumi nipe jina la kanga alaf zuia🥰😁
2026-08-29 14:39:17
1
user94570340442400
Aisha kim :
wakwanza leo mpemba🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-29 06:11:41
4
rahmakhamissrahma
Rahmakhamiss Rahma :
tunaomkubali mpemba tujuane
2026-08-29 09:40:22
2
To see more videos from user @ajumyajumiya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About