@amalitooo:

Amalitoo🇰🇪🇹🇿
Amalitoo🇰🇪🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 06:14:08 GMT
123426
7406
60
298

Music

Download

Comments

albertokisanga01
Phat_albert :
dream car 😍
2026-08-30 19:08:34
1
qiramy114_0
Qiramy Hussein :
nmejiulza hapo mbn hakun gari za bei dgo zikipita zaid ya pikipik
2026-08-29 08:10:57
21
6000yeas
Mr ®Obs¢n :
hii ndio tz sasa bado lamboghn langu leo kwenye maji soon 😬
2026-08-29 09:20:14
15
.zack.chacks
🤲🏽عبدالرزّاق🚶🏽‍♂️🍒💯 :
Bentley ☺️🙈😟😳
2026-08-29 08:21:44
7
harris.othman
Tind20 :
nakubali,nasubir nifanye tp up ya ist😂😂
2026-08-30 17:45:52
3
suski2008
Suski :
Subhana Allah na ndio Hatuna bahati kwa ma bwana zetu .😫 Alhamdullillah Ala kully Hal .
2026-09-01 07:37:40
1
jandecanadainc
J&E Canada Inc. :
Tatizo sisi barabara bado sana
2026-08-29 14:04:27
6
curlyheaves
curly09 :
hata mitaaa inayopita gari za jirani nazo ni mbayaaa yani wote wakali 😂🔥🫡
2026-08-29 18:47:56
8
baby.d973
Baby Fahy💕 :
Nakamimi kmy 😂😂😂
2026-09-01 10:09:31
1
gody3470
gody :
wana uliza lambo gin momi mbn juzi kam nime kutana nao kinondon yanjano au nime kosea mkuu
2026-08-30 12:23:51
1
dabzie1978
D A B Z I E 🇿🇲🇹🇿 :
Bongo tunamaisha magumu sisis tu, ila kuna watu wanaishi bhna
2026-08-29 18:32:15
7
user8611246170676
massawe EFX :
Kenya watasema AI 😂
2026-08-29 17:58:17
2
david.mayabu
David Mayabu :
ok nikishindwa duniani tutaonana mbinguni namlilia MUNGU BABA
2026-08-31 16:17:49
1
davidmbaeh10
Green krypton :
nakubali
2026-08-29 20:51:29
2
stevenmacago
someones black panther🇸🇨🇰🇪 :
sawa Boss kubwa
2026-08-31 06:40:54
1
exaudjm
Muhammad Wa5🕋 :
Aya bana wengine Nikama Atufanyi kazi
2026-08-29 19:29:01
3
madmox438
MARTINEZ-$ :
dream car ya watu wengi
2026-08-29 18:33:01
2
al_captain7
Mrhill :
MashaAllah na mm kama hii sasa inshaAllah
2026-08-29 12:46:11
5
plumbing.malicki.o
MALICK PLUMBING/WATER :
daa kaka hongela sana na mm ndoto yang iyo
2026-08-30 03:26:18
1
user6233410781258
mr mess :
magari maarufu kaiona iyo
2026-08-30 08:00:15
1
user856867338146
Mkwelele :
Bentley Tanzania?ama kweli Tanzania kunakucha.
2026-08-30 06:40:39
0
lussamabawili
. :
sahihi kbs
2026-08-29 13:56:07
3
tonadoago208
@tonadoago208 :
ma papa dream car
2026-08-29 17:52:03
2
parisdior2022
jackson :
wazenji mnaenjoy sana dsm hapa skuhiz
2026-08-29 08:57:19
5
To see more videos from user @amalitooo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About