@babachanja01:

Baba_Chanja
Baba_Chanja
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 06:37:21 GMT
79919
2840
166
391

Music

Download

Comments

forevertallent
MUHUNI MAKINI👊😡😡😡 :
si ili apa au ulioni mkuu😂😂
2026-08-29 09:17:16
65
eelv340
⚡️Eel⚡️ :
hii inchi inachekesha kama sio inchi yako😂😂😂😂
2026-08-29 08:29:48
109
stones3600
Stones and cristal :
Pesa ipo bank
2026-08-29 09:21:07
33
maigempassa
maige mpassa :
Nyumba ikikosa baba ,ni tatizo kubwa ..
2026-08-29 09:08:14
37
esther.tumain6
Esther Tumain :
pesa ik bank😂😂😂
2026-08-29 12:50:25
0
user57586168237053
Ray @shaid :
mmh hii nchi kwakweli
2026-08-29 09:22:14
16
fredytorokoko
Kwa mama Gideon :
malawi og hiyo
2026-08-29 08:58:09
11
doriecutegirl
Dorie,N💄👠👸 :
aiseee this is sad
2026-08-29 10:40:10
0
user3297609885582
#@Lord charm :
Malawi 😁😁
2026-08-29 15:04:12
0
jacquesmichael62
IndigoQz :
ostaz kaenda kuoa mke mwingine😁
2026-08-29 10:36:23
13
aima76332
Aima :
labda ni Advance Payment
2026-08-29 09:20:57
8
princessfionna286
Princess fionna :
Bora uumizwe na mapenzi kuliko kuumizwa na matukio ya nchi
2026-08-29 11:59:48
13
gcool107
God is good :
pesa zipo benk
2026-08-29 10:24:22
3
ashakapalat
kappie 🥰 :
at the end of the day mtakuwa mnalalamikia serikali ila watu ambao hata hamuwadhanii ndio wanatufelisha,million 600 mtu kapewa hajafanya lolote ila serikali imetoa pesa ya kujenga bwawa
2026-08-29 08:59:05
13
moses_george3
M.G :
kweli hii inchi una wauni sana
2026-08-29 08:39:55
9
cafro5
cafro5 :
nchi gani hii kwani?
2026-08-29 11:12:14
2
user58625759950
Victoria Ngokwe :
pesa iko back
2026-08-29 09:57:52
3
mrnaibu3
Mr Naibu :
Ila bongo jau sana😂🤣
2026-08-29 13:18:05
2
user7213958188182
user7213958188182 :
hawa watu ndio wanaifanya serikali inaonekana mbaya kwa wanachi kumbe wananchi wekipewa nyazifa wanakula pesa
2026-08-29 10:13:50
5
beatha2580
Beatha seleman :
si ili jmn🤣
2026-08-29 10:28:49
2
use0654461248
KAMBARE WA NCHIKAVU🚛 :
nashindwa kuerewa
2026-08-29 09:41:01
2
tinny_915
martinez :
hapa ni wapi😂
2026-08-29 09:44:10
4
marrykingi
marrykingi :
hongera mheshimiwa kazi nzuri
2026-08-29 09:55:01
3
am_awe_255
am_awe :
Naitwa magembe muuzaji maarufu wa mahadiwea😅
2026-08-29 13:07:37
1
petro.julius
Petro Julius :
watwo wanachezea hela zetwo jamani aaaf katiba tukidai mnatuuwa kwwe haya ona ccm mnafanya kazi gani
2026-08-29 15:41:07
0
To see more videos from user @babachanja01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About