ata team dunia ilishakimbia pia na kususa kabisa kuomba ata dua
2026-09-10 14:30:33
1
❤️Nazmina🦋🦋 :
Unaijuwa maawa Dodoma😂😂??
2026-09-06 21:07:10
1
SHUJJAIL MUSWALLYN :
UKIZUNGUMZIA KUHUSU SHUJJAI YA YAHYA BIHAQ WOTE WANAELEWA SHOW ZETU 🤣✅️
2026-09-01 12:03:45
3
abdul latifu :
watoto hawataelewa isalaha manzese ilikuwa muumin safina na isalaha safina kachomoa 2018 iyoo watto hawataijua iyo historia
2026-08-29 12:22:41
4
mseruka mussa :
daah mie japo ni wakitambo sana nakumbuka mwaka 2002 ghazal alimkimbia noori argentina ilikuwa ni balaa ,,,kuna jamaa yao mmoja anaitwa yahaya wa ghazal sijui yupo alikuwa hatari sana kwa kutinga huyo ...ila wote waliamsha ......
by ther way ni kitambo sana
2026-09-05 09:14:12
1
dé sántös 🎧🇩🇿 :
isirah walimkimbia k munyama TADHKIRA KIGAMBONI.
2026-08-29 09:16:08
2
hakam :
islaha walimkimbia khalid swifa
2026-08-30 06:45:25
2
Yunus Fernandez :
ISLAA KWA MBIO hawajambo
2026-08-30 07:36:04
3
Cuty_zayna :
Alikimbia jamvi lake mukaddas pale mwandege akatuachia uwanja watu tukatamba ugenini ilikua shughuli maan hakuamin mtu alikutan mukaramma tulienda costa 4 haice 2 bajaji km zote boda km zote na private car yaan tulifika km watu mia hamsin km ni ww ungefanyaje km sio kula
2026-08-30 12:54:20
1
salhahalidi3 :
hii inayo imba apo ni madrasa gn mana daaah atar sana
2026-09-07 08:50:55
1
Ariph JR :
mwenye kasida za fannan ya asan aly jmn nanunua
2026-09-01 17:05:28
3
adacharmlakushi :
unakumbuka iyo cku vzuli ilivyo somwa kasida ya dunia ilikuaje answa ckuile ghazali kinacho wasaidia wengi ila limba hakuna kituu ghazali
2026-08-30 07:23:45
1
Ramadhani Shuhuda :
hawakimbii ila hwajaamua kukaa majamvi
2026-09-02 09:29:04
1
princesssadatz :
Kunachuo kipo mkulanga nimekisahu tuliend kweny Jamvi tumepiga kaswida moja2 mashekhe wakaanz kupigana wakijua km sisi ni swifa ya tandika kumbe sisi ni mahad salaam ya kijichi walipiga shuhuli Ikawa imesha 😂😂
2026-08-31 20:42:07
1
gomez :
Tim dunia ndo hatari xan kwa kupigia dufu
2026-08-29 17:22:50
1
Mualom :
nakumbuka kitambo tarbia walitukimbia swifaa ya pemba tulikutana nao chake kufika saa 4 asubuhi mbio 😂😂😂😂😂😂
2026-09-06 06:00:51
1
abdul_mwaye :
alkarim alimkimbia kudusia daru kitambosana mnamo mwaka 2006au2007
2026-09-07 06:30:58
1
Salumu Machumu :
mm nasoma comment tu😁😁😁
2026-08-31 20:45:10
1
waleleofficial_tz :
Nashindwa kueleeeewa kwanii wanatuofia
2026-08-31 12:03:48
1
Mundh_irphones :
team dunia ilitukimbia tandale pale sharifa magano safna nnjaha
2026-09-02 07:48:35
1
häymâñ älly 🔥🥰😛😛 :
safina alimkimbia manazil dar
2026-08-30 10:10:22
1
Xide boy282 :
xhababa mwambe
2026-09-09 17:33:30
1
@Saidimnyamwezi07 :
mwaka 2000 isllaha madrsat zanzibar ilimkimbiza TANZANIA MADRASAY YA TANDIKA
2026-09-11 09:54:41
0
To see more videos from user @dufumedia, please go to the Tikwm
homepage.