@bbcnewsswahili: Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemuasa makamu mpya wa rais wa nchi hiyo Deogratius Ndejembi kutumikia taifa kwa utii na kuwa cheo ni dhamana. ameyasema hayo wakati wa hafla ya uapisho uliofanyika Ikulu ya chamwino huko Dodoma. - - #bbcswahili #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #foryou #siasa #fyp
natamani katiba ingesema makamu ateuliwe na kura za wananchi ingekuwa pw sana maana apo atujui kama nae ni walewale
2026-08-29 08:07:38
33
patrisha :
watanzania Mungu atutetee
2026-08-29 08:17:45
16
Widege filimon :
hiii nchiiii ina mambo mingiiii sanaaa
2026-08-29 06:56:58
9
mbappe khan :
kwanza nakaa chumba na sebure tu mwanasheria ntamlipa nn nikae tu kmy
2026-08-29 07:52:02
13
sweetie :
usituletee mambo ya Karume ndani ya Taifa letu
2026-08-29 12:30:35
2
JAPHARY :
So huyu Tunajua Hatatuambia chochote kuhusu KATIBA 😁
2026-08-29 09:02:46
3
Mods Dickson☑️ :
ipo siku
2026-08-29 07:23:18
4
user6383333100447 :
Mweshimiwa Rais kata mti panda mti kazi iendeleee tujenge Tanzania yetu
2026-08-29 10:12:44
2
team Tz :
tupo pamoja na mama samia oyeee ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-08-29 07:18:07
11
malume boy :
samia samia samia mungu anakuona
2026-08-29 10:34:52
2
user9292163505867 :
Inaonekana makamu wa rais atakuwa kivuli tu
2026-08-29 10:01:31
3
kulty :
🥰🥰🥰mama wetu Allah akulinde na akupe afya na umri mrefu wenye kheri ameen🥰🥰🥰
2026-08-29 09:25:14
3
HON. GABRIEL MUSHI :
Alisema "Nawasihi Pambaneni Mpate Katiba Mpyaaa Katiba Iliyopo Ni Raisi Mbinafsi Ndio Anaweza Kuing'ang'ania Mama Yetu Mwenyewe Anataka Mpate Katiba Mpyaaa" ... MH NCHIMBI MAKAMU WA RAISI ALIYECHAGULIWA NA WANANCHI MWAKA 2025 .
2026-08-29 08:45:35
5
afred tibakula :
mbon anatishwa duh
2026-08-29 10:37:14
1
SAM~66 🦁✌️ :
mwanasheria wangu anaumwa acha nikae kimya
2026-08-29 07:37:23
3
Abdallah Msham :
iv tangu bunge lianze january mbak leo walishawai goma pitisha jambo gan la rais au wapo tu
2026-08-29 11:48:18
0
Tanzania 🇹🇿 Nchi Yangu :
Hongera na pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi na busara ya kumchagua Mheshimiwa Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uteuzi huu unaonesha imani, hekima na dhamira ya kuimarisha uongozi, umoja, mshikamano na maendeleo ya Taifa. Tunawatakia viongozi wetu nguvu, hekima na mafanikio katika kulitumikia Taifa kwa uadilifu na uzalendo. 🇹🇿👏❤️
2026-08-29 10:23:12
2
Makungu :
Sawa Mwanetu
2026-08-29 07:20:25
3
kibuga devota :
watanzania Mungu atutetee tupate katiba
2026-08-29 09:18:36
1
dumbi tz :
makamo rasmi sasa katutumikie watanzania
2026-08-29 07:08:30
4
AFRICAN PRADO 🫡 :
mwanaetu😂😂
2026-08-29 07:20:51
3
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.