hivi manabii hawawezi kuomba jambo moja tu na likatokea
2026-08-29 08:37:32
20
Enock Gadau :
hakuna shida hapo rais tumepata
2026-08-29 09:16:51
11
Ba.white :
vijana oyeeeeeee mama Allah amuweke sana kwaajili yetu.
2026-08-29 10:08:50
12
CPA HYASINTA (RAHMA) :
Safi sana Mwenyezi Mungu ubariki uongozi wa Taifa letu
2026-08-29 15:54:23
3
B E B E R U 🐐 :
Natamani ningesema jambo lakini Wakili wangu Yuko nje kikazi🤐
2026-08-29 12:12:30
2
thecla🍫 :
yan hao wote hapo hakun mwenye njaa jaman maisha haya
2026-08-29 09:52:54
3
Moses Elias Izengo :
mama wewe ni mama sisi bnafisi hatuna hiana kikubwa tunakuombea uzid kulinda heshima ya nchi yetu kwan maneno yako yanapenya ndan ya moyo wangu najihisi kuwa mkuu wa wilaya ya hai
2026-08-29 12:30:47
3
elizabenti helemani :
me napita tu 😳
2026-08-29 08:40:12
4
Revolution :
mbon mwanetu nchmb hatumuina?
2026-08-29 09:30:14
3
HAPPYNESS :
mungu amtie nguvu zaidi achape kazi kwawatanzania🥰🥰🥰
2026-08-29 15:19:48
4
🦋it's reynee ❤️🩸 :
kigurunyembeee oyeeeee
Tumetoa makam wa tz
Mungu ibarik school y kiguru nyembee
2026-08-29 09:53:06
2
Said Ally :
Tumefurahi sana mungu akulinde ulete maendeleo makubwa, katika Taifa hili jema,
2026-08-29 14:24:32
1
Lyone🙈❤ :
kiukwer tumekwisha sisi🤣
2026-08-29 09:44:47
2
Agnes John :
hatumtaki kabisa 😭🥺💔💔
2026-08-29 16:20:54
0
chinga boy :
unamtisha huyo
2026-08-29 08:34:30
2
obbyboy :
wasira anasinzia tu
2026-08-29 09:44:49
1
simba :
asante sana mama kwa kumuamini kijana wetu ,ongera sana mama yangu
2026-08-29 07:33:24
7
elai michael mitson :
lione hili bwana yesu ,usi2achie sis ha2juw chochot sis,wewe ndounayo yajuwa yanayo kuja nayaliyo pita fanya yalio yakwer katika kwer weka waz maovu ya waov amin
2026-08-29 13:14:54
1
Apeche Alolo :
mama kaza c tunakusapot kwakila idara Kwan kilakitu kinamda watanganyika watuache tupumuwe
2026-08-29 12:09:43
3
Lizzy Daud :
😁Philiph Mpango anacheka
2026-08-29 10:20:48
1
@trh :
Mimi nikajua atampa umakamu ABDULI
2026-08-29 09:54:10
1
SUPER DENA 😊 :
Tanzania bado iko nyuma sana kidemocrasia, badilisheni katiba la sivyo hawa viongozi watawakalia😳
2026-08-29 17:04:17
0
user868205776966010 :
Mungu akuwezeshe mwanangu na akutie nguvu na isiwe na hofu tunakuombea
2026-08-29 17:11:00
0
To see more videos from user @wepesitv, please go to the Tikwm
homepage.