@eternalinternationalhq: UTI siyo tu ile hali ya kuwaka unapokojoa. Kuna mchakato unaoanza ndani ya mwili kabla hujaanza kuhisi hizo dalili. Bakteria wanaingia kwenye njia ya mkojo, wanaanza kuzaliana na mwili unaanza kupambana nao. 👉🏽 Save hii content na share na mtu ambaye huwa anapata UTI mara kwa mara. Tuambie, unataka Inside Your Body inayofuata tuongelee ugonjwa gani au kitu gani kwenye mwili wako?