shida nyingine mnajitafutia tu... furaha huwezi kuipata kwa watu. furaha unapata kwako mwenyewe. watu wana mengi ya kufanya aanze kuwaza ya kwako nonsense
2026-08-29 18:16:11
5
Baba Tunda II :
unajuaje, kama anaumwa sana au amepata chamgamoto kubwa!?
jaribu kumpigia au kuulizia watu wake wa karibu kwanza, ukiconfirm ndio umuhukumu, mgakujaga kuhukumu na watu waliofariki
2026-08-29 16:37:53
2
aime live🇨🇩🇨🇩 :
yaaa apo nikweli kaka
2026-08-29 11:46:18
2
jov_master :
kwel kabsa
2026-08-29 19:45:44
2
Zabibu Mauba :
Ni kweli aiseee.
2026-08-30 08:37:53
0
simpletrends2 :
dah ni kweli
2026-08-30 08:11:40
0
moudykisengo :
oyA mwanangu iyo so kwel kidogo,mi nlkua nachat na mwanang alikua south na ujumbe unafika lkn ajib nikaanza mlaum kumbe alipigwa risasi na sim ili pls
2026-08-29 23:34:55
0
stella maluli :
kweli kabisa kaka
2026-08-30 06:27:12
0
KINO :
Mambo ni mengi huwezi kukaa unasoma message ya kila mtu , mfano mtu anakutumia message VIP😎.
2026-08-30 05:33:32
0
Trump gumbo :
sahihi mkuu
2026-08-30 04:36:56
0
ꪑꪮꪊ𝕤ꫀ𝕣_ᥴꪀ :
ni facts
2026-08-30 06:02:57
0
itc_cop :
mh
2026-08-30 05:09:32
0
Exceed Expectations Tours :
Kumbe week nzima mm nilijua dakika 5 tu
2026-08-30 07:30:18
0
Kepoh Visual :
kuna mshkaji wangu huyo ndio zake
2026-08-29 20:09:46
0
GBanga_Tech💡 :
amna asee c kwamba mtu anakupa thaman ya chin n vile unawasha data huingii popote zaid yakaz iliokufanya uwashe data mens tupo na mambo mob kwa kichwa asee
2026-08-29 21:14:14
0
shakht :
ujumbe mwngne mfupi unasomeka hata bila kuifungua mesej so ukiona haijaweka blue tiki ujue kaisoma na kapuuzia
2026-08-30 04:21:55
0
To see more videos from user @bongochap, please go to the Tikwm
homepage.