@elimu.na.tiba: 😔 1. Unajitahidi sana lakini mafanikio yanachelewa sana 💔 2. Mambo mazuri yakikaribia… yanaharibika ghafla 😴 3. Uchovu na kukata tamaa bila sababu ya wazi 📉 4. Kupoteza mwelekeo wa maisha mara kwa mara 🤝 5. Mahusiano mengi kuvunjika bila sababu kubwa 💭 6. Mawazo mengi na wasiwasi usioisha 🚪 7. Fursa zinakupita karibu kila wakati 💸 8. Kipato hakikai au pesa inapotea bila mpangilio 🌙 9. Ndoto zisizo za kawaida zinazojirudia 🧠 10. Kujihisi kama bahati haipo upande wako

ELIMU NA TIBA
ELIMU NA TIBA
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 07:01:06 GMT
3313
55
8
4

Music

Download

Comments

user687826144
Fatma :
niko ivo chakufanya
2026-08-29 14:40:06
0
linnar.cute
Baby 🌸recho 🍄🌸 :
Mbona ndo mimi Jomn
2026-08-29 14:18:53
0
jasmini.abdalla
Jasmini Abdalla :
ni mm apa kabisa
2026-08-29 13:50:29
0
baggy.rapper
BAGGY RAPPER SUPERSUB :
nisaidie
2026-08-29 15:56:52
0
user687826144
Fatma :
niko ivo chakufanya
2026-08-29 14:40:06
0
To see more videos from user @elimu.na.tiba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About