@simas.tech: Hofu ya bosi ikikupanda, hata bosi mwenyewe anajisahau kama yeye ndiye bosi! 😂 Usipate msongo wa mawazo kazini wala nyumbani. Rahisisha maisha yako kwa vifaa vya kisasa vya umeme na appliances bora za jikoni kutoka kwetu. 🛒 Tembelea duka letu leo au tutumie DM kuagiza sasa! #zanzibar #oman #viralvideos #zanzibartiktok🇹🇿 #electronicsontrend @🔥*king~dizo*🔥 @lil_moo.07