me nimefanya kazi miaka miwili mochwari yani tunakuwa tunakuwa tunapiga hodi ili tujue kama kuna utofauti yani ukipga hod ukisikah kuna maiti imeitika basi unabidi usifugue kwanza adi zipite saa tatu. tunazitenganisha maiti ya kike na yakiume ni kwasababu kunamuunganiko fulani kati ya mwanaume na mwanamke
2026-08-29 11:17:13
53
❄𝐊𝐢𝐧𝐠 𝐨𝐟 𝐟𝐫𝐨𝐳𝐞𝐞𝐧❄ :
tunae omba mungu atupe mwisho mema like nyingi
2026-08-29 10:35:19
437
Ashley Shila :
kwa uelewa wangu maiti ni mwili ulio kufa ila nafsi bado inaishi kwaio iyo n heshima kama tulivyo waislam tunapokwenda makaburini tunatoa salaam kwanza ndipo tuingie makaburini ile salaam marehem wanaisikia n kuijibu ispokua ss ndo hatuwez kuwasikia wao
2026-08-29 07:16:27
313
Don anseford :
sensor
2026-08-29 13:46:26
0
BA MPENZI WA LODI😍😍 :
tulio kuja soma comment tujuwane😳
2026-08-29 08:39:23
416
Juma Makanak :
Mimi nikifa msiniweke umo, hua naugonjwa wa kifua 🙏
2026-08-29 14:37:58
26
kasaliwe 45 :
kwa sababu jshduwhsidjsjshshhs ndoivyo
2026-08-29 09:24:34
0
Salvina Maumula :
kwasabab likiwa na mtu linalia tofauti na likiwa halina mtu
2026-08-29 08:55:25
97
patrickgitavi :
Respect to the dead person
2026-08-29 10:05:58
0
Wandaz Boy :
cyo wte
2026-08-29 12:43:44
0
Jacqueline opar :
What's the exact point??
2026-08-29 10:12:05
1
@st⭐n designer :
unakufa mwili tu ila kiroho upo nasi kwahyo mtu Hafi ana badilisha mazingira tu
2026-08-29 08:12:18
57
REMMY EMPIRE :
Leo ndo nimegundua maana ya hizi emoji
😂-a
😄-e
😁-i
😮-o
😯-u
Makofi kwangu 👏👏
2026-08-29 15:39:59
7
Adele Deogratus :
bhana weee tukifa tutajua😂😂😂 msituchoshe
2026-08-29 12:40:43
49
😊 lappy🌸🐱 :
kabla sijajiuliza mzee wangu kwanini unajiita govi?maana nashindwa kuelewaaa🤣🤣
2026-08-29 12:39:36
12
steven binagi :
wale tunaokimbilia kusoma komenti tujuane
2026-08-29 12:46:53
16
Genstar commedian :
tulio kimbilia kwenye comment tujuane ndugu zangu 🤣🤣😂
2026-08-29 09:03:33
29
Makaveli_ Njera :
hiyo apo
2026-08-29 14:12:55
10
nice melody tz🇹🇿 :
bwana yesu asifiwe
2026-08-29 12:03:04
17
Asma wa abduli :
duh nachanganikiwa
2026-08-29 07:19:28
15
BAGI mwamba Deejay🇨🇩 :
watazaa🥰🥰
2026-08-29 08:57:58
12
charles Mbwambo :
nashidwa kuwaelewa
2026-08-29 08:42:47
14
Sungura :
ni hishara ya heshima
2026-08-29 09:06:06
8
Rebecca collection :
taratibu za kisheria msituchoshe
2026-08-29 09:27:41
12
To see more videos from user @batani_govi, please go to the Tikwm
homepage.