@father_d.14_luxury: Ebwana leo tukakutana na huyu bwana asubuhi nikiwa naenda ifakara kaka zake barabarani ataki stress katulia tu mwenzake yuko pembeni nae katulia tu gusa uone au shuka uone motoooo...weeeeeeeeee kwanza kaweka msonga mano wa chuma..msafara...kubaaaa
FATHER D.14 LUXURY
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 07:24:43 GMT
Music
Download
Comments
Bridgendah :
King of the jungle❌
King of the road✅
2026-08-31 10:10:58
0
Dar 2024 :
anaumwa huo anahitaji msaada hapo
2026-08-30 06:55:18
15
12345678 :
Doumbia kachoka na maneno ya watu
2026-08-30 06:17:57
42
Abdullah Mohamed Mohamed :
the king 👑
2026-08-30 04:40:27
1
MPENDWA WA BWANA :
hiyo ni ishara nzuri upo vzur kiroho
2026-08-30 08:04:04
10
dotto emanuel :
😂😂😂😂😂Ila mashabik wa simba ndio mkae barabaran
2026-08-30 09:44:26
6
Mohsaidy The Light☀️🧿 :
Huruma siyo Malezi😁
2026-08-29 09:19:42
6
mawigi :
uyu jamaa Huwa aigopi kitu aisee na binadam tungekuwa ivo wote tungekuwa matajiri
2026-08-29 17:20:13
12
abdul :
davoo naomba simama nichimbe dawa
2026-08-30 06:40:31
3
Rashid khalifa abdallah :
huyu mapenz yanamtesa
2026-08-30 04:55:08
3
Kharry Khann :
kaamua kujiamulia mambo mwenyew
2026-08-29 10:53:21
7
Luther king 717 :
hii nchi bwana watu wanajiamulia mambo sana naomba msiniulize kwanini
2026-08-30 06:29:39
3
B.BOY :
Mnyama anaye jikubali na kujiamini kwa kupitiliza na anjua kujiamuli mambo 'lion king of jungle'
2026-08-29 19:08:41
8
Polika Fisima :
king lion🦁
2026-08-29 18:41:47
2
chissey jr :
mapenzi noma
2026-08-30 07:37:40
3
leezabeth29🇿🇦 :
Mzee mmoja kutoka south kwa madiba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-30 06:20:37
2
Fredoo :
Doumbia vp Tena hapo
2026-08-29 21:26:09
4
billionaire akwi :
ukisema yanga anakimbia
2026-08-30 07:07:56
1
Denis Deus :
mali ya taifa
2026-08-29 17:25:28
2
grasiuskasembe :
uhuru umezidi mnooo
2026-08-29 09:00:28
2
big bro :
Anabahati 682 hazipo Tena barabarani.
2026-08-29 20:36:58
2
Said Sikilo :
Apo wananch ndo tumemuonea hulum lakn 6 point zinamuusu
2026-08-29 20:56:02
2
Fred Edward :
mikumi hi
2026-08-31 03:51:27
0
To see more videos from user @father_d.14_luxury, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.