@vkbmedia: Makamu wa Rais Deo Ndejembi alivyosalimiana na rafiki yake Antony Mavunde waziri wa madini. Urafiki wa kweli umeendelea bila kujali tofauti za kivyeo #VKBMediaUpdates

Van Kahise
Van Kahise
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 07:30:56 GMT
39852
1301
16
42

Music

Download

Comments

jumamasai515
Roga Tz🇿🇦 :
Watajua Wenyewe Sisi Tunataka Katiba Mpya Tu
2026-08-29 12:23:50
7
clarissaproducts
clarissaproducts :
pata picha Rafiki yako Makamu😄
2026-08-29 11:04:21
8
ritter.renatus
Ree🇹🇿 :
ee hapo mwingine anajifanya akuoni😁😁
2026-08-29 09:35:41
6
frola.mgale
Frola Mgale :
tuwakilishe vema mgogo mwenzetu
2026-08-29 09:02:56
2
stanchi216
STAN CHI :
duuu,saiv kawa boss namba 2🖐️
2026-08-29 09:01:12
1
modotto
MO DOTTO ✅ :
nani alipata hisia zakulia kwa urafiki wa kweli like apa
2026-08-29 12:41:10
0
msangule12
Omary Msangule :
Safi sana
2026-08-29 08:46:38
0
mashimba1
Mwananchi wa kawaida :
jamaa ana luv ya kweli kwa mshikaji wake
2026-08-29 09:20:12
0
lupenzamoses
Lupe Lodman :
nikimiliki benzi Mwana namsusia Pajero
2026-08-29 13:32:12
0
sifah608
Sifah 🇹🇿🇲🇶🇦🇪👐❤️ :
Hata akiwa rais hawataacha ujinga urafik wa kwel
2026-08-29 09:51:03
0
yusuphnimrod
YUZZO :
@Dereva kijana TZ🇹🇿🇹🇿 ni ww kabisa kaka
2026-08-29 12:15:19
0
To see more videos from user @vkbmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About