@kawanga18m: 🎙️ EXCLUSIVE INTERVIEW 🔥WARDAH BINT WA MTAANI IVI JAMAN MUKO TAYARI HUYU BINT ARUDI TENA MTAANI? YEYE ANAOMBA NA ANATAMANI ASIRUDI TENA MTAANI🙏 AHSANTE SANA @kanzu_estate
Atokee mkristu mmoja nae asaidie watoto wamtaani wa kikristu kama huyu jamaa anavyosaidia ndugu zake katika imani....🙏☺️
2026-08-29 07:49:47
43
DA MUNA🎀 :
nilikuwa nasubiria kwa hamu mahojiano na wardah 😍😍kweli kapendeza
2026-08-29 07:49:48
92
CHINEKE🌟💫 :
Dogo mbona yuko timamu sana huyu ilbd asome shule,,,af pisi🥰🥰Mashallah
2026-08-29 08:39:33
57
Diana Mgallah :
imagine mama john anatamani kuishi na mwanae ila john ataki
na warda ana tamani kukaa na mama ake ila mama warda ataki kukua na mwanawe🤔🤔🤔
2026-08-29 08:03:21
45
WACHIMBAJI VISIMA TANZANIA✅ :
afundishwe elimu dunia
2026-08-29 08:23:10
9
FATUMA SAIDI :
mimi.nataka.nimleye.nipo.zanzibar
2026-08-29 08:29:54
11
𝐬𝐰𝐚𝐥𝐥𝐨 𝐌𝐂 :
niachie kk Ata nimuoe
2026-08-29 08:13:06
7
REAL LOVE 💕 :
mashallah kawanga plz mpeleke Kwa sheikh nurdini kishki alhikmaa
2026-08-29 08:28:34
13
Uzuri wa dini ya kiislam :
Quran aimtupagi mtu Mashaallah
2026-08-29 08:58:30
26
sadasada52317 :
Allah akulipe heri
2026-08-29 10:07:32
1
Ukhty Shuu me❤️🔥 :
namuomba nipo nzega
2026-08-29 08:31:48
8
dazuuzubedabakary :
Warda I love you mama
2026-08-29 08:37:31
2
Mrs dejaah :
Jaamani mnashuhudia wenyewe rah ya uislam yani Mashaallah 🥰
2026-08-29 08:23:55
16
Fatma :
we nimrembo
2026-08-29 08:31:16
1
rey jafari :
[Sticker] Warda
2026-08-29 10:03:44
0
Aggy😍😍 :
Wewe kaka mwenyezi mungu mwingi wa rehema akupe maisha marefu kazi yako ni ngumu ila mungu azidi kukubariki
2026-08-29 09:10:33
7
dalali muhulo :
ALLAH AQBAR
2026-08-29 08:34:38
3
Snao Kisura :
wardah mrembo🥰
2026-08-29 07:46:46
18
BIGGIE👑 :
allah akupe maisha marefu kaka❤️❤️❤️
2026-08-29 07:56:54
9
pretty fashion :
Mashallah... Allah amjaliie watokee wanawez kumfadhilii🥰
2026-08-29 08:20:34
8
mustwafa abuubakar :
kizur zaidi amesoma sura ya kupata nusura kutoka kwa allah
munguvkila k2 ameshakiandika kitokee kwenye maisha yko ili ufike sehem husika kuna aya ameisoma hp inasema itakapokuja nusura au neema kutoka kwa mola wko basi unatakiwa umsabih mola wko kwa kumshukur na kumtaka msamaha ..mungu akuongoze ktk njia ilosawa akujalie uweze kufanikisha maleongo yk ya hapa duniani na kesho akhera kila k2 huja kwa mipango ya mungu
2026-08-29 08:43:03
11
zuhra :
allah amfungulie🥰 nimetokea kumpenda uyu mtoto
2026-08-29 08:04:35
9
fatma baby :
mashallah tunapenda sana nko kenya
2026-08-29 08:24:16
5
LOVE IS HEART NOT MONEY :
huyu binti anidhamu sana ata majibu yake yanaonesha kuwa nikweli kuwa hakuwa anatumia kilevi namuomba mungu amuongoze kwenye kheri aamin 🙏🥰
2026-08-29 08:29:16
7
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm
homepage.