Kuna raisi uyo asije akajaribu kupanda usafiri mmoja na abilia maana
2026-08-30 10:18:55
38
Anna :
the man of the people
2026-09-02 07:10:11
0
Steve.chengu🇹🇿 :
the great leader ever happen
2026-09-03 18:41:12
1
juniorjay633 :
The King 😭 Rest in Peace
2026-09-02 04:55:07
0
mrs.fetty07 :
A man of the people ❤️
2026-09-03 18:47:43
1
Gilbert Godfrey :
nani kama magufuli kwenye hii nchi
2026-08-29 12:04:53
39
@simon yosse1 :
Yani najikuta natabasamu huku nalia mimi jaman kwann mnapenda kuniletea hizi Crip mtaniua na stress jaman
2026-09-03 07:50:58
6
MAGU CHEREHANI LTD :
hamna atakae kusahau milele
2026-08-29 07:45:47
11
mojusa🤗🤗🤗 :
uyu alikuwa rais au msela jmn duh mungu amuweke
2026-08-29 09:04:15
21
Manuelski :
Raisi pekee alieweza kujishusha kiasi cha kwamba alikuwa tayari kusafiri na abiria wa chini kwenye usafiri mmoja.🥺. Daaah huu ni utu wa namna ya juu kabisa
2026-08-30 16:35:28
10
Jackson :
alale salama baba tutaonana nae badae
2026-08-30 13:19:45
5
amir sadi jr :
jembe letu hilooo
2026-08-29 16:23:54
7
ipm :
kama katiba saivi wanaiburuza tu kwanini na sisi tusingeamua kuvunja katiba endapo angekua hai angeendelea kuongoza nchi ata baada ya miaka yake 10 kuisha🥺
2026-08-30 05:36:30
8
shedrack :
Tupate wapi tena mutu kama huyu ambaye mungu anakaa ndani yake anajua uwepo wa watu wengine 😭😭😭😭😭😭👐🏾
2026-09-03 16:37:42
1
Babe girl :
tutamkumbuka daima
2026-08-30 16:03:35
5
user7319126820929 :
tungekua mbali sana yani
2026-08-29 12:57:32
7
Jackline Sylivester :
😭😭 magufuri wetu ipo sku tutakutana tunakukumbuka sana baba mpenz wetu😭
2026-09-03 07:14:42
1
Gift Gamassa :
Vizuri havidumu jamani itoshe kusema pumzika kwa Amani Baba yetu 🙏🙏
2026-08-29 13:57:31
6
lalika jr28 :
rais wetu wa muda wote
2026-08-29 10:51:48
5
@123 :
amebeba mtoto hadi mlinzi wake ametabasam. wow🥰🥰
2026-08-30 14:32:41
2
Royce Raston :
aisee yani baba yetu magufuli tunakumisi sana ulikuwa mtu wa watu jaman
2026-08-30 20:00:17
1
The Lastborn :
mzee ni kama alikuwa anatulaani ivi! "mtanikumbuka" alisema ivo😭😭
2026-09-02 17:24:10
0
Sunday motellaTz :
am so sad 😞 for remember that him
2026-08-30 13:15:03
2
kahema42 :
nimejikuta natabasam lisilo na kikomo tena moyoni😃😃
2026-08-31 06:59:28
4
Elizabeth Julias :
jamn
2026-08-30 03:49:52
3
To see more videos from user @jamalofflcially, please go to the Tikwm
homepage.