@mosmartshaweji16: #virel_video #viralditiktok #viralditiktok #viralditiktok

Mo Smart Diego
Mo Smart Diego
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 07:53:23 GMT
96419
4631
77
134

Music

Download

Comments

user5137353357268
bravoo663 :
Mbona uyo dad anatetea san tutakufuatilia
2026-08-30 13:07:07
1
shammy0929
Shammy❤️ :
me huyo dada alinifata akaniambia najua mume wangu alikwambia hajaoa ukamuamini me n Mke wake mwaka wa 7 Sasa. jaman niliogopa nikamwambia "Madam naomba unisamehe sana sikujua na nimekoma kwanzia Sasa" aliniambia sawa kama umeelewa nakuombea Mungu akuletee kijana ambaye hajaoa mtengeneze familia wewe ni mzuri sana utampata uwe na siku njema. akaondoka na mumewe nikamblock bila kumwambia kilichotokea
2026-08-29 20:14:18
71
martinpallangyo
@bonge la dada 2025 :
binadamu tuna viburi saana..
2026-08-29 08:55:01
42
sharifa.maulid8
👑 ♠️ sharifah✨️ :
kwa kweli
2026-08-29 08:50:53
16
osward35
P sword :
Kweli ukiambiwa kua mpole
2026-08-29 16:20:05
17
chieffndungulu
million dollar🧞‍♂️ :
story ya hassan
2026-08-29 13:56:58
11
maherkim.mohamed
kimcov19@maherJR :
message sent
2026-08-29 16:45:38
1
bakari.athman6
Bakari Athman :
ukiona mwenza hamuendani wachaneni
2026-08-30 07:10:25
9
blaqkivu
jitu la mtumba😎 :
mimi sikufuat nakuroga tu usione
2026-08-30 06:13:12
3
user4457198405160
moses tadei :
sahih kaka watu wanabakwa uku
2026-08-30 16:55:18
1
odullah4
odullah7 :
nilijua tu n irene😂😂😂
2026-08-30 07:07:06
3
sajid.547
SKS 🤍 :
iyo ya 2 mbn umempenda 😂😂😂
2026-08-29 10:49:57
6
halayma33
halayma33 :
nikishaongea nae vizuri kisha namuachia au naendelea na mtu wake😂😂😂😂
2026-08-30 09:46:49
1
dullahdatatz
@dullahdatatz :
Nishawah kupewa onyo alipewa baba angu aliambiwa mwambie mwanao aachane na mke wangu baba angu aliniambia achana na wake za watu Nilimuelewa baba angu
2026-08-30 09:49:18
5
isayabaraka2
isayabaraka488 :
pointi
2026-08-30 14:20:31
1
saury063
saury :
hapo ndugu umenifanya nimekumbuk father wangu kipind nakuja dar es salaam alinambia nijiepush na mahusiano na mke wamtu, wala mpenz wamtu atanikishutumiwa nabidi nikatae kihekima na nimjibu kwa busara ikiwezekana twende kwa shekh masjid tukazungumze na kukiri mbele ya shekh
2026-08-29 11:14:26
7
mabruksalum
fake dollar 💵 :
sioni haja yakumwambia mwanaume aachane namke wako, but mwanamke anaweza mwambia mwanamke mwenzake aachane na mmewake🤔
2026-08-30 14:25:37
0
mrhebaoutfits
Mr.heba Outfit's :
Hii ni hukumu mzuri sana alistahili kwa hukumu
2026-08-30 17:27:33
1
rahmakhamissrahma
Rahmakhamiss Rahma :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hatari
2026-08-29 08:57:35
3
clove8704
Theo :
bora anakuambia mara 3 mana kuna mwingine haongei onspot anafajya action
2026-08-30 05:59:16
2
user5136052530871
ISIHAM @15 :
message sent
2026-08-29 09:02:36
3
issa.cheka4
Issa Cheka :
ukiambiwa mara moja tu inatosha,muachie mtu mke wake
2026-08-30 06:52:53
1
majei.namwinyu
Majei Namwinyu :
ukitaka kuachana nae huwa wanataka mali zigawanywe
2026-08-30 09:05:16
1
os_1861
Os_1861 :
SAWA
2026-08-29 10:27:36
1
sundaygregory
silenthunter :
ila mke wa mtu bhana ngoja nikae kmya
2026-08-31 09:30:59
0
To see more videos from user @mosmartshaweji16, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About