@saluh_tz: 🔥🙌Ndugu yangu @Ngajupa Tz hebu wape watu hiyo Acoustic unawanyima mashabiki zako burudani kubwa sanaa 💯🤧 Mimi nimeshindwa kuvumilia na kuitunza hii siri we wape tu watu waenjoy mziiki mzuuri kaka yangu😅😅😂 @good_master hebu maliza mixing hizoo watu tuondookeee😂😂 Mi siwezi kuimba vzuuri hiivi halaaf kiitu kifungiwe studio tu toeenii Acoustic hiyooo.!😂😂 #Nakufaacoustic by @ngajupatz ft @saluh_tz itatoka soon mwenye Wimbo akiamua kutoa mimi nimevujisha tu pande laanguu 😅😅 . . . . #saluh #nakufa #Love #acoustic
SALUH 🐰
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 07:59:13 GMT
Music
Download
Comments
MOGRA :
Lengo lako ukitoa nyimbo tushindwe kuimba😂
2026-08-29 09:02:15
58
JOSMOH MUSIC🇰🇪 :
what a simple thing 🙌😄😄😄
2026-08-29 15:31:52
0
kalinyo1 :
Mang'ula Finest 🔥🔥🔥
2026-08-29 16:41:00
0
GEN-Z PRINCE 👑 👑 :
To much vibe 🥰
2026-08-29 10:52:41
0
Mick sabas Yakusola :
tujuane sasa me wakwanza ku,like
2026-08-29 08:02:14
20
sumayya💞 :
wambie sum ya panya🔥🔥🔥
2026-08-29 08:31:20
0
Mbari 👣 :
goosberms allover 🥵🥵🥰♥️♥️♥️🔥🔥🔥
2026-08-29 12:14:23
0
Mussa Mndolwa :
kumbuka kuna SHOW we jikamue tu😂😂
2026-08-29 13:23:22
4
Mark's🇰🇪 :
tupande tena saluh jameni 😂🙌
2026-08-29 08:02:38
17
Ngajupa Tz :
Hii siku ndo nilipoamini kama wewe sio mtu mzuri IGWEEE 🙌🙌🙌🙌🙌
2026-08-29 11:16:43
16
Allan boy :
family
2026-08-29 08:04:07
0
Awuor❤️💯❤️ :
Nani kakupiga kichwa brother
2026-08-29 14:14:05
2
💔saya cute🥰 :
daaah wesio mtu wakawaida
2026-08-29 08:32:26
6
queencharms :
ukiitoa hio me nailipa😁😁
2026-08-29 09:53:44
3
♤♡♡it's hilda☆¤😻 :
muwe mnamshika kichwaa jaman😂😂
2026-08-29 12:19:08
3
it's me nana💙💙 :
huyo ndo mpenzi wa mine
2026-08-29 09:38:35
5
Regina D🇨🇩🇹🇿🇰🇪 :
jamani usipasue koo plz
2026-08-29 10:40:51
2
official venny 255 :
hiyo fanya itoke halaka
2026-08-29 09:02:59
3
Rich hustler254 :
kuimba sio lazima key ya juu una haribu😳
2026-08-29 09:31:21
10
Habib Abdoulkarim100 :
Kama diamond 🔥🔥
2026-08-29 09:38:40
1
early 🗝️ :
hatimaye nimekuwa wakwanza 😂
2026-08-29 08:04:51
6
HeisdasoulTz🔥🔥 :
Wewe kijana Nimekushindwa 🙌🙌🙌 🔥🔥
2026-08-29 09:35:17
3
MUSTE :
uyu tukimchekea atatufikisha kimataifa🙌🙌
2026-08-29 10:13:20
3
Kassy Kid :
Weeeeee saluh ww utatuuwa 🫡🫡🫡
2026-08-29 08:36:50
3
To see more videos from user @saluh_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.