@mwenye.nchi: Kichwa pasi wenu mbona kama Yanga haina mwiko nyuma? Tutakufuatilia🫵😂

MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
Open In TikTok:
Region: ZA
Saturday 29 August 2026 08:05:50 GMT
267129
13221
989
8004

Music

Download

Comments

carry.one.92
carry one 92 :
duuuh kweli kuna vitu hatupaswi fanya coz hatuijui kesh yetu😂😂
2026-08-29 08:53:13
1377
ssonjohplanb
SsonjohplanB :
Sasa apo kakosea wapi aseee
2026-08-29 08:37:54
241
victoria.leonard86
mama Islam 💞🫂 :
kujitoa Tanzania nabonyeza ngapi😂
2026-08-29 08:58:15
856
mariamm10222
Mariam,❤️ :
Tanzania wakiamua kukufatilia hata uwe kwenye shimo la kalo watakuona tu🙌
2026-08-29 08:55:14
573
viatu_city
Viatucity :
nothing wrong y'all
2026-08-29 10:28:44
0
henrygfx
HENRY💦 GFX🔐 :
TAP TAP the 📺 guys 😂😂😂😂😂
2026-08-29 10:27:10
1
john.mrombo8
John Mrombo :
Wa tanzania kiboko loohhh😂😂😂😂
2026-08-29 08:44:05
119
phinedephayner
Phine De phayner :
🥲🥲ngoj nikae kmya mwanasheria Wang ame sap🤣🤣
2026-08-29 09:46:20
1
chodenahmed
Choden Ahmed :
sasa ndio ionekane kama ndio aibu au mbona vitu vya kawaida tu ... punguzeni chuki bhana
2026-08-29 09:42:05
180
mr.kamaka1
Mr.kamaka1 :
camera Man hamepotea🤣🤣🤣
2026-08-29 14:13:17
0
jojoleonard63
🧿Pisces girlie🦋 :
😅😅😅😅😅asante
2026-08-29 14:20:02
0
yusra_hinatz_backup_acc
YUSRA HINA | DAR ES SALAAM :
Ss mtu asifurah akiwa kwake kha
2026-08-29 09:55:45
79
__ms.veola
𝓥𝓲𝓸𝓵𝓪🇹🇿 :
Mitandao Jau🤣🤣🤣
2026-08-29 09:32:52
13
unique.babe104
Unique babe :
Tanzania hata uishi kwenye andaki wana details zako😁😁😁
2026-08-29 09:15:00
88
chumadede202
chumadede :
hizi sio nafasi za watoto basi tu nchi hiii imekosa muelekeo
2026-08-29 12:50:25
8
leem2024
Leem :
Hayo ni maisha yake personal. Hayana uhusiano na kazi zake au yupo ikulu apo😂
2026-08-29 12:35:08
11
user5114835155035
Kelly nelson 💋❤️ :
Tanzania tumeisha Kwa khali hii
2026-08-29 09:57:53
7
msglory64
Ms gee❤️🦋 :
Kwahyo sasa hivi ukipata tyu cheo video za zamani zote zinaanikwa 😂😂 basi za kwangu mnipe mapema
2026-08-29 08:59:06
57
djmnyeti
djmnyeti :
Watu wasienjoy 🤣🤣
2026-08-29 08:13:23
26
princessara186
Princess p sara :
ngoja nipunguze mikogo mtandaoni Kesho sijui nitakuwa Nani mie😁
2026-08-29 09:13:02
54
asia.salum46
Asia Salum :
kuwa kiongozi huna haki ya ku enjoy maisha yako jamani?? hii challenge ilikuwa tiktok miaki ya nyuma, tuache kuyakuza jaman
2026-08-29 09:14:41
17
its_trecty
its_trecy :
Kwa stili hii mi sifai kuwa hata diwani mana nina mafaili mazitooo 🤣🤣 yakiachiwaa nimeishaaa
2026-08-29 10:47:53
19
To see more videos from user @mwenye.nchi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About