ONE :
Kadgo, one the incledible, songa, motra tje future, azma mponda, nikki mbishi, ghetto amnassaser, nash mc, shaolin, solo thong, p mawenge, stereo, pro seven, pala. Double, proseven, tifa flow, zaidi HAO NDO RAPA AMBAO WANA UWEZO MKUBWA KUMZIDI DIZASTA. Na unatakiwa kujua kua Dizasta ni story tellar na wapo wanaopiga hizo story zaidi kuliko yeye. Fuata hao uone. Jifunze HIP HOP. Dizasta ni apewe heshima yake.
2026-08-29 10:33:47