@machingatvtz: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameeleza sababu ya nafasi ya Makamu wa Rais kuendelea kupewa kizazi cha vijana, akisisitiza umuhimu wa viongozi vijana kukua katika fikra, busara na uwezo wa kufanya maamuzi. Akizungumza baada ya kuapishwa kwa Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, Rais Samia amesema uamuzi huo unalenga kutoa nafasi kwa vijana huku viongozi wenye uzoefu wakiendelea kuwa walezi wao. “Tuliamua nafasi tuirudishe kwa vijana na tuendelee kulea. Imetoka kwa kijana, tumeirudisha kwa kijana. Sasa kijana tukuombe ukakue, si kwa umri, ukakue akili, usiwe samaki,” amesema Rais Samia. Kauli hiyo imelenga kumhimiza Ndejembi kutumia nafasi hiyo kujijenga zaidi kiuongozi, kupata uzoefu na kutekeleza majukumu yake kwa busara na maslahi ya Taifa.
Machingatv
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 08:10:46 GMT
Music
Download
Comments
user9034320503061 :
mhmhhh
2026-08-30 13:51:46
0
Mzungu Mweusi. :
Naona wameamua kumteua mtu watakae mkontrol wanavyotaka
2026-08-30 11:26:08
3
SADA JUMA :
mama ww ni mtu na nusu tunakupenda sana mama Samia 🙏🙏🙏
2026-08-30 10:02:30
3
Abdulwahid :
big up mama
2026-08-29 11:42:39
1
ruthiukas :
hakunaaa
2026-08-31 15:32:43
0
user7010125962781 :
ipo siku aminaaaaaaaaa
2026-08-29 20:36:44
2
Mwinyi Foum :
Mumefanya kitu kizuri kuwapa vijana nafasi, wazee wakivurugwa na mambo wanayavuruga.
2026-08-31 18:35:57
0
wamushadi11 :
mama kazi iendeleee
2026-08-29 14:25:22
1
devis kogota :
mama naomba ela yavocha
2026-08-30 20:04:32
0
JATA EKEYA :
kazi itaenderea
2026-08-29 14:50:08
1
zakaria samson :
hadi raha jaman
2026-08-30 14:43:31
0
mukomboz mwiula :
napta
2026-08-29 10:36:08
1
Aneth Manonga :
oooh matusi ni mengi
2026-08-30 07:09:04
0
Hassan habui :
mungu akulinde
2026-08-30 15:58:03
0
Phini mars :
kwa mujibu wa katiba imetufikisha hapa
2026-08-29 08:43:37
0
SADA JUMA :
kazi endeleeee mama hongera sana
2026-08-30 10:01:17
0
felestiantz :
🥰😏😏😁 kazinautu tunasogambele napenda ujasili wa samia siomwanamuke wakutisha nawatu wapigakelele kwaguu ojasiojisiaa
2026-08-30 17:47:39
0
Mama t :
MAMA SAMIA MTU NA NUSU
2026-08-31 11:20:49
0
To see more videos from user @machingatvtz, please go to the Tikwm
homepage.