@brgtv5: Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemwambia Makamu wa Rais Deogratius Ndejembi kwamba ameteueliwa nafasi hiyo bila kushauriwa. Akizungumza leo Agosti 29, 2026 mara baada ya kumuapisha Rais Samia amesema “Mheshimiwa Ndejembi katika umri mdogo, tumekutwisha jukumu kubwa, tena bila hata kukushauri, pole sana” “Uamuzi huo umefanyika baada ya kuzingatia sifa na vigezo alivyonavyo, pamoja na umri wake ambao kwa kweli, bado ni Kijana mwenye nguvu, ari na kasi ya kujituma katika kutekeleza shughuli za Serikali,” “Sasa kijana, tunakuomba ukakue, si kwa umri, lakini ukue kwa akili, usiwe samaki, Karume aliwahi kutuasa sisi Vijana, akisema “Msiwe kama samaki, kila mnapokua, akili inaharibika.”

BRG ONLINE TV
BRG ONLINE TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 08:41:35 GMT
406
4
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @brgtv5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About