kwli raisi wetu hurama zake ndo zinamponza wao nanachukulia ni uzaifu
2026-08-29 09:09:31
15
Seif Seif :
unaongea kweli dada
2026-08-29 14:13:58
5
satyenyi :
Tangu wakati wa kampeni Raisi alishasema Katiba ipo kwenye mpango,walioharibu na kuchelewesha ni hawa walioleta vurugu..sasa hivi wanapiga makelele ya kuhusu katiba kuvuruga ufatiliaji wa waliotuletea vurugu
2026-08-29 10:25:51
18
Trnty :
Mara paaa
2026-08-29 09:09:43
7
eminertuesday :
nilichogundua kwenye haya maisha unae msaidia ndio adui yako wa baadae
2026-08-29 09:35:20
11
Sky :
Tukumbuke kuendelea kutunza nauli tu
2026-08-29 09:19:55
8
Mickness :
sorry ni M4U au M4C ila uko vizuri
2026-08-29 11:02:28
7
tuma :
nimeipenda bangili shosti
2026-08-29 09:00:59
5
mswahili :
na mbona siku hizi wapo kmy sn
2026-08-29 13:18:40
5
Borah Lemmy :
asante mamii tumekuelewa
2026-08-29 13:04:15
5
The Dreamz :
Hapa sasa nnaamini japo nilisimama na samia kabla dijajua kina..Mitano tena mama
2026-08-29 14:28:00
7
jesca rwegoshola :
Acha kabisa, kwakweli Mama Samia jipe moyo Mungu nimwema,atakupigania.
Bycola Mwanangu nakupenda maana mmm kuna vitu napata,dah unajua mambo.
2026-08-29 14:48:31
7
yasini maambi :
yani dadayake nakupenda hadi sichoki kukusikia
2026-08-29 10:30:43
8
jackline simbila :
dada wataifa umesikia kiapo cha makamu wa Rais nimeipenda hiyo atailinda na kuiitetea katiba ya jamuhuri ya muungano ee mungu nisaidie
2026-08-29 12:11:22
8
Emanuel Messu :
ila naomba kuuliza Wewe Huwa upande upi dada angu,maana Huwa unanichanganya sijaw kuona story yenye balance
2026-08-29 09:28:33
7
Emael Shilla :
logic thinker...
2026-08-30 07:53:30
1
professa wa kitaa :
alikula billion 25
2026-08-30 07:56:08
1
Mrs Ahmed 💓 :
hahahah kmbe unajua kuimba bycola 🤣
2026-08-30 10:55:34
1
Kalugi :
Uwe unaweka Tarehe ya Post zako😂
2026-08-30 06:56:04
1
Galib :
asante dada wa taifa nakupenda
2026-08-30 02:14:50
1
bin issa ktchen dish :
wewe dada wa taifa 🥰💯💯💯💯
2026-08-29 14:22:16
4
To see more videos from user @miss_adam03, please go to the Tikwm
homepage.