@sheikh_kosonso.official: USITHUBUTU! JAMBO HILI KWA NARCISSIST | SHEIKH AMIR KASONSO #kasonso

Sheikh Amiri Kasonso
Sheikh Amiri Kasonso
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 08:52:54 GMT
12129
1385
47
128

Music

Download

Comments

double.h.collection
DOUBLE H COLLECTION :
mana mwengine hata majukumu yake anayasahau ukikaa kimya nae anakaa kimya ukimuuliza anakuambia si unikumbushe kila siku kazi ni hyo hyo kukumbushana
2026-08-29 10:58:37
13
misslawrencejackie
Jackie Lawrence | Comms Expert :
Sio kweli, narcisit anajua kwamba anakosea ndo mana matendo yake anamfanyia only the weakest person katika maisha yake. Narcist hamkosei mtu mwenye advantage juu yake ( marafiki, bosi)
2026-08-29 21:41:28
7
mamalao.super
Mamalao Super 💓 :
wanajua kila wanalolifanya tena huaga wanazamiria kabisa kwasaabu nawe ukimfanyia kama ivo afu mbele y watu analipuka. na usipompa attention anakasirika
2026-08-29 17:10:21
7
munasuleyman2
Bombom :
Alokuwa mume wangu yaani 😳😳 kampatia
2026-08-29 13:25:07
2
preety.hannan
preety hannan :
Dah. Maalim. Wangu. Unawajua. Vizuri. Hawa. Watu.
2026-08-29 16:06:26
5
salomemkola911
Salome mkola :
kweli ,Niligeuziwa Kwa Hadi nikashangaa
2026-08-29 15:42:57
2
amba_46
Amba :
100% 😭😭😭
2026-08-29 16:31:45
3
symply__dijah
Symply_dijah :
No wanajua
2026-08-29 16:24:50
1
g_essence_shops
G - essence :
Asipo jitambua?
2026-08-29 14:00:29
1
ibuape
Iɓou🦍 :
Nadate na mbinafsi(narcissist) Kanakosea lakini 😂ukijaribu kumrekebisha anageuza kuwa vita dawa yake kumpuuza tu namnyima attention sikuhizi❤️‍🩹🙌🏾
2026-08-29 18:33:28
1
omimalim
oltemate PC GAMES🔇 :
ni ndugu zetu sasa itakuwaje tuwakate?
2026-08-30 08:32:31
0
antiraemiliani
antira tairo :
tumeyaona
2026-08-29 09:00:08
1
jabrani.winga
Jabrani winga :
yakwel ayo
2026-08-30 08:03:59
0
hawaerasto48
Habat Hafa :
wanajua wanachokifanya ila kibri
2026-08-30 04:04:28
0
namirfaty1144
Namirfaty114 :
sasa MTU kama uyo ukimjua ufanye nn ikiwa upo n mahusiano nae🥺
2026-08-30 06:46:11
0
nasir.kaka87
Nasir Kaka✨️ :
ALLAH AKUHIFADHII WW UNAWAUMIZA SANAA MAHASIDI NA HAWAKUWEZI MASHALLAH 👍
2026-08-29 09:02:13
0
double.h.collection
DOUBLE H COLLECTION :
kuna dawa za mental?
2026-08-29 20:56:36
1
double.h.collection
DOUBLE H COLLECTION :
je wanakuwa sawa kiakil?
2026-08-29 20:56:54
1
jamalsalim661
yamaldin :
true
2026-08-29 17:06:52
0
love..family6
LOVE..FAMILY❤️❤️ :
aiseee mimi haamini kama kunipiga ni kosa yaani nikikosea ananipiga na anaona ni haki yake kunipiga aiseee ....
2026-08-29 13:30:03
0
jamalsalim661
yamaldin :
yes
2026-08-29 17:07:48
0
zubjamalhan
xue jamal :
anajua 100% huyo ni adui wa maisha yako.ukimuona kimbia
2026-08-29 19:03:15
0
c127474892992992227
Caroline Muhonja :
ukweli
2026-08-29 18:17:34
0
lol049488
lol 😂 :
kweli kabisaa Hilo naliona
2026-08-30 05:37:39
0
damuna6
damuna❤️ :
kweli kbss
2026-08-29 09:04:02
0
To see more videos from user @sheikh_kosonso.official, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About