@abdrash_: Allah anaangalia ndani.. Mtume ﷺ alisema: "Hakika Allah haangali sura zenu wala mali zenu, bali anaangalia nyoyo zenu na matendo yenu" - Anza na wewe. - Kisha nyumba yako. - Kisha wengine. - Mwangaza ukiwaka ndani, utajiwasha nje bila hata kulazimisha.