@jamiivoice_: HABARI: Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida, akizungumza baada ya Uapisho wa Makamu wa Rais, leo Agosti 29,2026 Ikulu Chamwino, Dodoma.
Jamii Voice
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 09:28:22 GMT
Music
Download
Comments
Odo Ester :
ila U.V wanajikutaga wamemaliza 😅
2026-08-29 10:48:09
1
dottoo :
hatuwataki
2026-08-29 09:56:40
1
Hamis Senzota :
ww ni kijana!
2026-08-29 10:48:08
0
Alreza :
Jamani jamani tusijimalize watu huondoka
2026-08-29 10:43:50
0
Londi Masele :
shida ya serikali yetu ukisema ukweri unakosea
2026-08-29 09:33:28
0
maestrow 🐶 :
kwani kawaambia anataka tena siasa wazee simumuache mzee wa watu
2026-08-29 09:46:27
0
Bai :
kwani mlivyo mfukuza kwenye chama chenu chaufisadi ndio mwisho wake wakuishi?
2026-08-29 11:08:36
0
Frank Luguzura :
Mmmm!! eti KIBURI
2026-08-29 10:21:21
0
shukuru :
maadili gani mmejaa uchawa tu.ndo maana.nchi hii.ukiwa mkweli ni.shida
2026-08-29 10:12:19
0
user8616579291181 :
wastaafu lazima wajibiwe kwa kuwa wanaanza wao utovu wa heshimaaaa,inastahikiii, KUJIBIWAAA.venginevyo watu watawaaminiiiiii wanayosema.
2026-08-29 11:08:56
0
To see more videos from user @jamiivoice_, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.