@mercywanyonyi8: Mwendo nimeumaliza 😂

Mercy  wanyonyi
Mercy wanyonyi
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 29 August 2026 09:33:29 GMT
205271
9421
1312
553

Music

Download

Comments

nandimsoo
Nandi Msoo :
am soooorrry don't Liv me
2026-09-27 14:43:03
0
cruziedee
Amyra@2004 :
yesu nipeleke kule kwa baba nikaishi naye kule binguni 💃💃alafu akimalizia na chatgpt nitachange ikuwe I have decided to follow jesus no turning back no turning back coz hiyo masaa nitakuwa single singular singlest😂😂😂nitaanza interview ya kuhost wenye wako interested na Mimi and only the shortlisted will be chosen via position applied eg president, deputy president, governor, deputy governor,chairman,deputy chairman and othe assistant personnel😂😂😂
2026-09-27 10:09:28
6
annmaina.com
jecinta m :
niampata ICU direct
2026-09-27 10:32:25
0
user9745528747312
Imani thread 🧵 :
ni hau hau...
2026-09-27 16:20:24
0
evelinjohn4001
evelriny paschar💋 :
good bay x2😅😅😅
2026-09-27 14:57:23
0
mercywanyonyi8
Mercy wanyonyi :
Kama kuja kwenye maisha yako ni kosa nisamehe😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-29 09:34:04
246
lucymwaka480
Lucy Mwaka :
kuniacha chemeji yenu kaniacha by rayvanny
2026-09-26 07:46:17
0
baraka.shirima88
FALME ZA KICHAGA :
Ulisema naposhindwa nikuiiiiiiiite ivi leo nakuita nisikiiiiiiiiie, usiniache mbali nami, usiniache peke yangu😀😀😀
2026-09-27 11:45:47
12
user4751761155278
Mwanakiss❤️ :
😂😂😂Waweza tuma neno la uziiiiimaa libadilishe yoote....
2026-09-25 07:51:50
19
arsenalprincess66
💝🔥💫💥✨SPICEY TEZZY💫💥💝🔥 :
Mwendoo,,,,,mwendo nmeumaliza😂😂😂😂😂😂
2026-09-19 09:54:40
20
oti.s5
otis :
achukue tu hakuna kitu atapata coz why should i play someone I love si afadhali niende nikae na uyo mwenye nachat nayo kisirisiri..cheating ni ushamba tu na waste of energy na kumix spirits tu
2026-09-15 16:40:38
30
merytrizah
Mery Trizah 🥰🥰🥰💘❣️ :
mwendo nmeumaliza 😂😂😂
2026-08-29 10:29:22
36
mercy73704
THEE JAY'S FINEST :
yesu nipeleke kule kwa babaa nikaishi naye kule binguni kwenye mji wa lulu mlango wa dhahqbu.........[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-16 16:18:59
84
user8255760067262
Marllington Junior :
mwendo niumaliza🤣 but wenye wamekuja comment section kusoma tujuwane kwa like
2026-09-18 14:05:27
71
esther.official51
Esther official :
bwana nitie nguvu nimalize mwendo salama
2026-09-18 16:31:44
24
rumikyla7
Sheryl kyla :
Mola nipe ujasiri ya kufanya mahamuzi by harmonize🤣🤣🤣🤣
2026-09-19 19:54:47
5
paulinekasyoka86
Pauline Letters :
Nimeona Ako active acha niende nitarundi kucomment 🤣🤣🤣🤣
2026-08-29 12:23:11
9
destralaish.ruth
Destralaish Ruth :
Tutaonana tena yani tutaonana tena:We acha kuimba, ntakuw nshaaga dunia kabla niwekwe kwa oxygen 😁😁😁😁😁😁
2026-09-25 19:26:15
9
12mwereria
Gloria mutush :
mwendo nimeumaliza salama 😂🤣🤣
2026-08-29 10:41:22
7
userkerily
Belah kerily🙄🙄 :
nitaimba wimbo wataifa juu ni mwana jeshii
2026-08-29 10:37:27
8
user2208559028860
Becky shantel :
wamepanga kunimaliza...Baba wamepanga kunimaliza🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-18 14:31:49
21
user7618395032187
mama gift :
mungu wangu we wajua sababu Kwa nn niyapitie haya
2026-09-16 20:21:48
7
user9211913582980
simbaa :
remember me ooh mighty God.......🤣🤣🤣
2026-09-18 13:14:12
6
itz_hoglah
Itz_Hoglah :
Am here to collect that list of song wenye hamujaandika harakisha😅😂😂😂
2026-09-13 21:19:57
18
user9663748661224
Lizz :
yesu nitie nguvuu nimalize mwendo salamaa 🤣🤣
2026-09-14 19:02:49
24
To see more videos from user @mercywanyonyi8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About