@nijuzenews: Prof Shivji: ‘Serikali zetu hazifanyi kazi kwa uwazi’ Profesa Issa Shivji ameyasema haya Agosti 28, 2026, aliposhiriki kwenye Jukwaa la Demokrasia Tanzania lililofanyika Makao Makuu ya TLS, jijini Dar es Salaam. Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>> https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u