@zungukakereog: #maandamano #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #creatorsearchinsights #trending

Kaka wa taifa tz
Kaka wa taifa tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 09:49:45 GMT
7911
260
43
50

Music

Download

Comments

kyabuguta
Kyabuguta :
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm.
2026-08-29 11:29:22
1
user2663481392821
jeremiah jeremiah :
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
2026-08-29 11:42:04
0
ftotechnologies
Furaha M Hassan :
na kipind Cha Magufuli sijui hao wazee walikuw wap
2026-08-29 11:43:35
3
abuunajma952
Abuu Najma@881330 :
uwongo
2026-08-29 11:24:24
2
a.e.b57
الحبسي :
mwambie huyoooookk
2026-08-29 14:22:32
0
frank.muya7
Frank Muya :
huyu jamaa ni nani?
2026-08-29 12:44:16
0
omarisa967
Omar isa :
hungera muheshimiwa
2026-08-29 11:38:35
0
user158348206609
user158348206609 :
Kuna wazee wanalewa ikifika fainali anatafuta pa kujitetea wakati alijiharibia maisha
2026-08-29 12:01:53
1
sharifa.seifu
SULEIMAN R,4 :
kwani Mzee amefanye au kutoa maoni tulio mtuma ss wananchi Watanzani
2026-08-29 12:57:12
0
mngvfnfdbfnm
mngvfnf255678 :
ilikuwa bunge la katiba
2026-08-29 12:40:09
0
longlive734
Longlive :
MUNGU ana waona, tuliosikiliza mara kumi kumi tujuane hapa😅
2026-08-29 11:27:39
0
finadanielfinadan
lady fina :
tumekatazwa tumekatazwa tumekatazwa ☺️☺️☺️☺️
2026-08-29 11:11:34
0
reginamlahagwa573
Regina Mlahagwa :
walioba yupo sawasaw
2026-08-29 11:39:41
0
mkasiwa80s
mkasiwa :
Kumbe komba Jr alicopy kwa father. @komba jr
2026-08-29 13:27:49
0
thwladc.e.o
AwadhiDhahir💸💧 :
noma sna
2026-08-29 10:07:22
0
suleimanali255
Suleiman Ali :
Dah
2026-08-29 10:49:43
0
abdallah25171
Abdallah :
Mzee akatiwe huduma za kiserekali,yeye na Nyerere ndio ndio walipandikiza mambo mabaya yote,hata sukari ya kula ilikuwa shida yeye hakuwepo?aachane na sisi
2026-08-29 10:31:34
0
whizzkid093
whizzkid :
wew kaka wa taifa gani?maana mara zote unachambua vinavyokupa Raha wew.kwanini usiseme wew ni mwana ccm?
2026-08-29 10:05:49
0
user4527534507162
the integrity :
wazee ni dawa nyie hamfanyi kazi Bali mnafanya mambo yenu co ya nchi
2026-08-29 12:44:36
0
mr.rich4637
Mr rich :
Rasimu ya Warioba Iwasilishwe kwa Wananchi tulinganishe Mstari baada ya Mstari na Rasimu iliyotengenyezwa na hawa Wabunge wa CCM Tuone ipi iko Upande wa Wa Wananchi
2026-08-29 12:55:32
0
emanueliwildauson
emanueliwildauson :
hili bunge limeeanxa uchawa siku nyingi sana likishabikia mambo yakijinga
2026-08-29 11:51:50
0
michael.ndilola
michael ndilola :
Mafisadi na wala rushwa wote hawawez kumpenda mzee warioba
2026-08-29 11:24:05
0
user9596577752910
user9596577752910 :
komba alikua anaona mbali 😂🤣🤣
2026-08-29 11:01:39
0
petro.julius
Petro Julius :
ukikosea jeee hulusiwi kutoa maoni
2026-08-29 12:37:39
0
To see more videos from user @zungukakereog, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About