Natafuta mdada mwenye mimba twende clinic ili nipate net mbu wataniua wajemeni 🥺😂😂😂
2026-09-02 09:18:48
0
Mr Electric :
kwa kweli
2026-08-29 13:03:46
3
Ba_Humayra :
upepo nao unakimbia jua 😀
2026-08-30 18:56:52
3
Dhia muhammad :
mtoto wa dada 💛😁
2026-08-30 20:27:41
2
MAINO :
maajabu ya jua la dar mbaya ikiwa inanyesha bado Lima PIGA tyu🤣🤣☺️
2026-08-29 21:02:51
4
Saymoshi :
hahha il jua la dar
2026-09-01 06:50:51
0
Mary Kafugho :
2026-08-31 07:18:02
0
Ajuaye josephat :
I wonder
2026-08-30 18:59:12
0
add technology :
😂😂😂😂😂 hii kali kaka
2026-08-31 18:30:20
0
jeremia :
jua la dar ni la maajabu,saa 1 asubuhi jua linaunguza kama saa nane mchana,mvua ikinyesha pale inapokata tu jua linawaka hatar🤣
2026-08-31 12:41:14
0
Ballopixel :
😂 ila mtoto wadada🙌🏻🙌🏻
2026-08-31 13:28:02
0
megavision.eye.clinic :
2026-08-30 09:19:19
0
PICHASAA🖼️🕗 :
Dah😁
2026-08-29 11:02:59
2
king👑of👑peace :
hivyi mnalijuwa jua la Dodoma nyiye
2026-08-29 12:38:00
10
Prof. :
Dar majua yako matatu...kuna lile la kkoo..hulioni sana ila joto lake sasa mpaka mitandao ya simu ina poteana😂😂😂😂
2026-08-29 19:07:28
6
the_love_og :
upepo unakimbia jua🤣🤣🤣
2026-08-29 10:38:14
6
Mwanetu :
makofiiii
2026-08-30 09:22:05
2
madee :
jua la dar unatoa jasho unatafuta leso,,, kuna hili jua la dodoma bro linakausha had hiyo jasho,, unakutana na mtu amekenua unafkiri anakuchekea kumbe ni jua linamchapa😂
2026-09-01 09:20:34
0
MESSENGER 1 :
uongoo
2026-08-31 19:35:14
0
To see more videos from user @watubaki_, please go to the Tikwm
homepage.