@ramadhani.w.mkalagale: haya ni maswali mepesi ila kwa mwenye imani mana hakuna atakae yajibu watabaki kutokwa na povu tu🤔👋.#saudiarabia🇸🇦 #timermedia #timermedia #dubai🇦🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #trend #iran🇮🇷 #oman🇴🇲 #100MILIONSVIEWS @مہجہهہؤل 🇱🇾☠️ @Juma faki @Ustaadh abouyaqub_mk✊ @charafimali @✰J𝖆y𝖑𝖆𝖓𝖎✰ @DOCTOR SHEIKH YUSUFU DIWANI

Timer Media
Timer Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 09:57:55 GMT
4296
351
67
11

Music

Download

Comments

sumusuvi86
Manhetta Smv :
Amuna la kusema!
2026-08-29 19:30:23
0
selemani.chadi
Selemani Chadi :
mmmmmmh!
2026-08-30 05:08:54
0
aliy.mray
Aliy Mray :
Masha Allah leteee mamboo babaaaa
2026-08-29 10:26:59
2
ridwan.real.estate
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
1.Je, Maulidi ni ibada? 2. Nani alikuwa wa kwanza kuanzisha Maulidi? 3. Maulidi yalianzishwa lini? 4. Hukumu ya Maulidi katika Sharia ni ipi? tupe nguzo, masharti na Sunna za Maulidi ya Mtume ﷺ,
2026-08-30 15:06:42
0
fatmasuleiman50
Abu Xani🇹🇿🇸🇴 :
Ikutoshe Kauli ya Imaam Shafiy:- “Bidaa inapendwa sana na ibilisi kuliko maasi, kwasababu maasi mtu hukiri kosa ktk moyo wake anataraji nitatubu. Lakin bidaa ni kosa mtu anaitakidi ni ibada na dini so hana mpango wa kutubu wala hajuti
2026-08-30 05:44:01
0
hamicsadamu
hamic sadamu55 :
bidaa nimbaya kuliko maaswi sababu maaswi yanajulikana kwawa2 naharamu lakin dhambi yabidaa mfanyaji wake anaamini haya mambo
2026-08-30 04:52:04
0
shafirumohamed
shafiru m,kashato :
hatopatikan kamwe
2026-08-30 15:22:05
1
abuumohamed749
AbuuMohamed :
mm nitakuwa sufiy ukijibu haya maswaala haya. 1.Ni swahaba gani aliyepiga dufu na kucheza. 2.kama maulidi ni ibada niambie ilifaradhiwa lini ? 3.Ni nani aliyeanzisha bidaa ya maulidi
2026-08-30 18:07:38
0
khamissengo
Khamis Sengo :
shekh naomba namba yako
2026-08-30 08:34:37
0
seif.mohamed5872
Seif Mohamed :
tusifikie huko waislam subhanallah
2026-08-29 21:09:37
3
batulijuma15
Batuli Juma :
mtihani mkubwa Allah atulinde
2026-08-30 15:00:10
0
alifoalide
alifoalide (مضاف). :
نحن أهل السنة والجماعة أعني الذين يحتفلون المولد
2026-08-30 14:19:14
0
efjusaladu
efootball :
shekh hatokei tanganyika
2026-08-30 13:52:27
0
allykalaile
Ally Kalaile :
hunahoja
2026-08-30 09:14:02
0
mujtabasalim0771
Mujtaba Salim :
waambie wenda wakafahamu
2026-08-29 12:12:13
1
user7218617567171
Yaah_ulamaa :
allah akuifadhi
2026-08-29 18:52:21
1
ustadh.hashim
USTADH.HASHIM :
sawa kabisa🙏🥰🥰🥰🙏
2026-08-29 20:01:48
1
ridwan.real.estate
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
Munafak ni yule anaesema mowlidi ni ibada na hana dalili kwenye qurani na hadithi
2026-08-30 15:20:22
0
abulmurtadhwa
أبوالمرتضى عين الرضا علي جمعة :
NA ANAETAKA DALILI YA HAYO MAJINA MAWILI
2026-08-29 12:17:42
0
fikratulmuhibb1
FIKRATUL MUHIBB :
naam hakika sayeed
2026-08-29 10:29:53
0
charafimali
charafimali :
😁😁😁NA MUJITAAHIDU😂😂
2026-08-29 19:26:10
0
ibnkai955
KAI :
mi nimeishi na masalfy na masufi sjaona salafy mganga masufi wamejaa mtu mshirikina halafu imamu mi nikatoka kwenye usufi
2026-08-29 11:59:49
0
number.e.modern.f
NUMBER "E" MODERN FURNITURES :
kati ya kuzini na kumzushiya uongo Allha na kuuutangaza nakuhalalish hilo nakufuwatwa na mzinifu niyupi mbaya zaidi sheee ukinijibu nitumie no nikutumie chochote kitu
2026-08-29 19:00:54
0
supremleader_20
SUPREM-LEADER_20% :
vijana acheni kurumbana wafundisheni watu uislamu, acheni jaziba na hivyo vielimu vyenu vya kuokoteza kunamambomeng ya kuufundisha umma na sio marumbano
2026-08-29 10:43:15
1
ridwan.real.estate
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
Kwa nini Ibilisi anafurahia mtu mwenye bid‘ah (uzushi katika dini), wanazuoni wameeleza hivi: 1. Mwenye bid‘ah anaweza kudhani kwamba anafanya ibada Mtu anayefanya maasi mara nyingi anajua kwamba anafanya dhambi, hivyo anaweza kujuta na kutubu. Lakini mwenye bid‘ah anaweza kufanya jambo ambalo halikufanywa au kuamrishwa na Mtume ﷺ, huku akiamini kwamba anamsogelea Allah kwa ibada hiyo. 2. Kwa nini hii ni hatari? Kwa sababu Shaytani anataka kumpotosha mtu kutoka katika njia iliyonyooka. Allah amesema: ﴿لَأَقْعُدَنّلَهُمْصِرَاطَكَالْمُسْتَقِيمَ﴾ “Hakika nitawakalia katika njia Yako iliyonyooka.” [Al-A‘raf 7:16] Mtume ﷺ amesema: «وَشَرّالأُمُورِ مُحْدَثَاتُهَا، وَكُلّبِدْعَةٍ ضَلَالَةٌ» “Na mambo mabaya zaidi ni yale yaliyozushwa, na kila bid‘ah ni upotovu.” [Sahih Muslim] 3. Tofauti kati ya mwenye maasi na mwenye bid‘ah Mwenye maasi Mwenye bid‘ah Anaweza kujua kwamba anafanya dhambi Anaweza kudhani kwamba anafanya ibada Anaweza kujuta na kutubu Anaweza asione sababu ya kutubu Shaytani humsukuma kufanya dhambi Shaytani humvisha bid‘ah sura ya ibada Anaweza kuacha dhambi akijua hukumu yake Anaweza kushikilia bid‘ah akiamini ni jambo jema Lakini: Haimaanishi kwamba kila mwenye bid‘ah ni kafiri, wala kwamba kila mwenye bid‘ah ni mbaya kuliko kila mwenye maasi. Hukumu hutegemea aina ya bid‘ah, kiwango chake, na hali ya mtu. Ikiwa unataka, naweza kukupa maneno ya Ibn Taymiyyah, Ibn al-Qayyim na al-Shatibi kwa Kiarabu, pamoja na tafsiri yake ya Kiswahili na marejeo ya vitabu vyao.
2026-08-30 15:10:55
0
To see more videos from user @ramadhani.w.mkalagale, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About