Uko sahihi sana kwasababu mwanzo wa ndoa ndo vizazi sasa matalaka hovyo hovyo tunaharibu sana vizazi. Mungu akubariki sana mana sijui wanaichukuliaje ndoa aisee
2026-08-29 22:35:51
2
linat♥️dw :
hongera
2026-08-30 02:59:18
0
El-elohe-Moshe :
Bwana Yesu asifiwe sana walokole like injili iende mbele
2026-08-29 18:04:09
4
user9433973461685 :
wakristo wana fundishwa mafundisho ya ndoa kabla ya kufunga ndoa jinsi ya kuvumiliana kuheshimiana kumjua mungu ndoa inachukuliwa siriazi sana
2026-08-29 20:38:48
1
Eunice :
ndoa talaka unaandikiwa kwenye sms et mimi flani nakupa talaka3 wewe flani bin flani au et uje nyumbani saa8 usiku nikuulize uchane daftari la mtoto uchukue na peni uandike et talaka my husband mtarajiwa nitazichana izo sana😅
2026-08-29 20:12:55
2
Samson Humbe :
Okoka kijana wangu, mpokee Yesu Kristo aww Bwana na mwokozi wa maisha yako
2026-08-29 19:41:12
2
nathanaelkitus :
Mungu akubaliki wokovu upo karibu
haki ya Mungu iwe juu yako
wema na fadhili za Mungu ziwe pamoja na wewe
kwani mengi unafundisha mafundisho ambayo kila mtu anasikiliza bila shida
Mungu akuinue kujua vingi
2026-08-29 20:41:37
1
Anne :
Nitumie namba yako nikutumie hata hela ya soda Kwasababu we ni mkweli.,, Na peponi utaenda kwa sababu Mùngu anahitaji watu kama wewe
2026-08-29 12:46:42
1
J gwashunda :
nakubalian na ww ndugu yangu n kweli kabisa
2026-08-29 11:14:54
1
vs :
weka namba ya cm tukunze mafundisho yako ni mazuri sana mungu avijaze nakusukwa sukwa na hata kumwagika ubalikiwe wewe kizazi chako amen
2026-08-29 18:36:18
0
Hellen Ashery :
tukiapa madhabahun unaapa Kwa shida na Raha
2026-08-29 11:19:17
1
chama jr :
shekhe mungu hakujalie mzima uendelee kutoa elimu pasipo kujali dini ya mtu .ila katika elimu unayotoa kuna watu hawapendi kwa sababu unaongea ukweli allah hakujalie hekima na uzima🙏🙏
2026-08-29 10:15:16
2
magrethherin :
inaitwa ndoa takatifu kinachofungwa duniani na mbinguni kimefungwa unachofua duniani na mbinguni kimefunguliwa
2026-08-29 17:04:59
1
Digna Kumburu :
mungu akubariki kwa kusimamia ukweli mungu ni roho wanaotaka kumjuani lazima uwe kwenye roho
2026-08-29 12:21:01
1
filomena mlelwa :
Amina
2026-08-30 03:23:18
0
Adamu Damas :
Amen sheghe ubarikiwe
2026-08-30 03:45:22
0
To see more videos from user @ustadhzaydibrahim, please go to the Tikwm
homepage.