@neoagriculturemachinery: POWER TILLER MACHINE Inatumia diesel Ina disc, plough na rack Inalima hekari 8 kwa siku Ina tairi za rubber na tairi za chuma Hii ni msaada shambani bei 7,500,000 mawasiliano 0693761024 #powertiller#milionviews#rice#viraltiktok
Neo Agriculture Machinery
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 10:28:28 GMT
Music
Download
Comments
Muhammed Kilowoko :
kaka wapi hapo
2026-09-09 03:53:19
0
Kagwese777 :
hyo mashine inauzwa bei gan?
2026-09-19 16:57:06
1
rama khani tz :
2026-09-07 11:26:40
1
Ben lux de prince boy :
kjn bai yake
2026-09-25 17:23:49
0
CHIEF NGWESA :
huo ni ubao au reck
2026-09-11 17:48:35
0
Pius magari :
mkoa gan huo
2026-08-31 16:46:20
0
mahengejr :
daah kitambo sana
2026-09-06 17:04:55
0
Michael Ndika :
nikute kwenye mbuga yangu
2026-08-31 20:46:23
0
mahengejr :
tuwe tunapeana day mdaa ukifika
2026-09-06 17:05:29
0
dunsow dynasty :
nauza spare za power tiller na combine kubota original Napatikana ubaruku Mbeya na mikoani tunatuma
2026-09-23 13:48:37
0
To see more videos from user @neoagriculturemachinery, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.