@vkbmedia: ''Wasitupangie chakufanya'' Ujumbe wa Mohammed Kawaida kwenda kwa viongozi wastaafu wanaotoa maoni juu ya kipi kifanyike na kipi kisifanyike kwenye uendeshaji wa serikali na chama #VKBMediaUpdates
ukitaka kuhama nchi unabonyeza ngapi?? nimechoka mm🤣🤣
2026-08-29 15:08:21
14
user1865301258218 :
😂😂😂😂😂😂 mmmmmmh
2026-08-29 17:11:17
0
William :
Ndani ya ccm vijana wamejaa kiburi na dharau kwa wazee wao wanajiona wao ni bora kuliko watanzania wote,tuwapuuze tuwakatae
2026-08-30 06:30:55
19
Ibra Shinja Mwandu :
kikwete yeye siyo msitafu au siyo!
2026-08-29 12:52:01
7
Rama home electronic :
mazingira yenu yamekua magumu kupita kiasi heri mkubali kushauriana na wazee ili hata uchumi ukae sawa
2026-08-29 11:41:17
14
user3166180033598 :
duh!!!Kweli mnaviburi
2026-08-29 12:20:34
7
Nelson Juma :
oi kwahiyo taifa siyo letu nilenu sindiyo
2026-08-29 15:29:22
8
elias gboy :
et katiba na kanuni za chama chamapinduzi kwakanunii ipi iliofatwa kumpta mgombea uraisi?
2026-08-30 12:07:29
2
Mike :
Mbona samia aliingia kwenye mchakato bila kanuni
2026-08-29 12:25:08
6
da wise :
ukiona mtoto anamjibu mtu mzima utamaduni wetu maana huna nidhamu ...wazee wamepambania nchi ila viongozi wa sasa kula nchi na rasilimali zetu
2026-08-29 15:42:04
5
Rashid :
wewe unaongea hivo kwani nchi ni ya CCM?? ipo siku watanzania tumechoka sasa
2026-08-30 15:31:12
0
Montana House Of Beauty :
Nchi ni ya wa Tanzania c ya ccm
2026-08-30 07:45:06
1
mojusa🤗🤗🤗 :
kiburi na dharau za hali ya juu
2026-08-30 05:42:37
1
MR. ROTIVI :
kuna misemo.asiyesikia la mkuu.....
2026-08-29 15:51:39
3
Nassoro Mkwanje :
HAO NI WATU NYUMA LIPO KANISA KAKA HUWEZI KUSHINDANA NAO HAO
2026-08-29 17:16:12
1
In god we trust :
HAWA NDIO WALIRUSHA NCHI NYIMA , BARABARA ZILIKUWA MBOVU KUTOKA MWANZA MPAKA DAR ILIKUWA MASAA 48.VYAKULA VILIKUWA KWA MGAO MPAKA UPANGE FOLENI RTC AU MADUKA YA USHIRIKA .
2026-08-30 04:52:03
2
zookey :
ngatele une, mweeh !🥺
2026-08-29 15:41:46
2
To see more videos from user @vkbmedia, please go to the Tikwm
homepage.