@salumu_house_decoration: Karibu Kwa finishing Bora za nyumba zenye quality. wasiliana nasi ☎️ +255626463319 Tunafanya finishing za nyumba ndani na nje WhatsApp +255626463319 Tunapatikana Dar es salaam Tabata mikoa yote tunafika Kwa gharama nafuu kabisa karibu @salumu_house_decoration kwa kazi Bora Kazi yetu ni hizi 👇 🏠 SKIMMING 🏠 PAINTING 🏠 GYPSUM BOARD DESIGN 🏠 DECORATION 🏠 MOLDING 🏠 TV UNIT
ingia kwenye profile yangu kaangalie kazi hizo lakin hatujigambi kwasababu tuntafuta sembe tu hakuna jengine
2026-08-29 18:23:51
7
Micho#_07 :
Ni Casino au?
2026-08-30 17:12:06
1
@bruno_umeme :
😂😂😂😂 Napita tu ila apo hamna kitu izo fashion za 2016 ndozilitamba saiv mwendo wa decor zenye profile lights na magnetic light nakwenye mikanda worm sio hiyo mikanda ya bar ndanihaifaiiii