@uhondo.tv: Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida ameeleza namna ambavyo kamati kuu ya CCM ilivyochukuwa Hatua za makamu wa Rais aliyejiuzulu Mhe Dkt Emmanuel Nchimbi. Imeandaliwa na @fadhili_fadree & @Jovainevanjov #UhondoTVUPDATES
Uhondo TV
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 10:51:34 GMT
Music
Download
Comments
AYATOLLAH ALI KHAMENEI :
ooooo saw
2026-08-29 13:08:59
0
fandramas26 :
Well said
2026-08-29 13:25:58
1
Fetty Kamote :
mmhmmm
2026-08-29 17:20:29
0
BEKA SHOES CLASSIC DODOMA :
yan. baba yetu ndohana eshima mwanetu
2026-08-29 13:34:24
4
babel :
wzanzbar saiv ama kwl unapata wp nguv y kzungumza hvo ama kweli miaka yetu hii wpeigeni baba mana kesho kutwa tunamaliza na katiba tuheshimiane
2026-08-29 17:21:22
1
Goa G7 :
kabisa
2026-08-29 18:59:45
0
Swalha Kisina :
kabisa mwenyekiti wetu
2026-08-29 11:27:18
1
user59480082235985 :
kasema kweli
2026-08-29 17:10:52
0
mathayo thomas :
kijana kijana kijana..... Tupo hapa
2026-08-29 12:09:23
1
kondeurembo :
funzo gan
2026-08-29 13:10:39
0
Emination Jr24 :
Mmeanza kumtafutia sababu ili tu uone hafai
2026-08-29 17:47:02
0
mudric' :
ipo siku haya maneno yatakubua.
2026-08-29 16:16:42
0
Fadhili Dini :
mmh
2026-08-29 14:37:46
0
simbila :
ukikuwa utajuwa kijana
2026-08-29 15:21:21
0
Mr Politician :
huyu anamiaka mingapi wakuu
2026-08-29 13:23:17
0
Chikawe Jr :
dogo bakiza maneno usijisahau dogo
2026-08-29 15:14:18
1
Omari Kitabu :
mwenyekiti amenyooka
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
2026-08-29 18:39:01
0
Abeid Karata :
ℒℯℴ 𝓀𝓌𝒶𝓀ℯ 𝓀ℯ𝓈𝒽ℴ 𝓀𝓌𝒶𝓀ℴ
2026-08-29 17:04:58
0
Peter Peter maheto :
Yani uyo kijana mdogo kama mimi anamfindisha heshima nchimbi kweli basi tumefikia pabaya aiseeee😁
2026-08-29 16:56:26
0
maiko msigwa :
unafikiri kijana kama anajua Nini kuhusu taifa
2026-08-29 13:51:26
0
Sinzela boy :
Kwan na huyu ni kijana
2026-08-29 13:25:41
0
Godfrey kilembe :
mnazingua
2026-08-29 18:10:41
0
Mr Thinker :
wazanzibar wanaingilia watanzania kwa nguvu
2026-08-29 18:41:14
0
Muganyizi gaspary :
.
2026-08-29 11:20:31
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.