no no no no wait please tell me your joking please a beg 😳please
2026-08-29 13:28:49
0
Jeremy :
too bad......
2026-08-29 18:22:08
0
baraka james45 :
daaaaaaaaa tutapat wap mwingine
2026-08-29 11:46:18
0
ndeck son :
Nimesoma comment but! Mungu ndo anajua! RIP Mtumishi.
2026-08-29 18:44:15
3
frolaisaya853 :
ila dunia watumishi hilo nifumbo kubwa sana kwahy tuombe sana mwenzetu mwendo kaumaliza
2026-08-29 18:59:43
1
Ev MBASA :
ww huyu kaka alipatikan akiwa amekufa ama???? maana aliondoka kwake akielekea morogoro akipofika akamjuza mke wake kwa no ngen kuwa kafika sm yake haikuwa na moto... tokea hapo hakuoatikana tena,, ndo naona hapa walimpata ama tupe majibu..
2026-08-29 13:07:28
1
Ree💜 J :
daah😭😭😭😭
2026-08-29 20:50:31
0
males maiko :
nimeumia sana mwalimu wangu
2026-08-29 21:14:23
0
bei yako accessories :
maisha haya nifumbo Moja kubwa sana lisilo elezeka kabisa yani muuuh 🙌,🕊️🕊️
2026-08-29 18:19:12
1
linah lameck :
duu😭😭😭😭😭
2026-08-29 20:12:01
0
SuzannneTitus💞 :
huyu kaka yupo kwenye wimbo wa malebha nyarugusu anacheza sanaaa au nmemfananisha
2026-08-29 17:55:38
0
Stevezawad :
alikua anaumwa??
2026-08-29 12:33:56
0
lameck ndaki :
Pole sana
2026-08-29 19:21:56
0
Marko majenga :
kwer kabisa
2026-08-29 20:11:57
0
Angelina💖💖 :
alikuwa mgonjwa au
2026-08-29 11:58:11
0
refama :
Pole kwa familia
2026-08-29 19:38:23
0
JOFREY SAIDI :
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamanii😳
2026-08-29 19:21:28
0
Veronica Paschal :
nikwann binadam tumekuwa kama wanyama Sasa ningumu kuamini mungu ailaze roho ya mwalim buruba mahala pema peponi😅😅 pia pole kwa familia na ndugu
2026-08-29 18:26:22
0
Rahel Samwel :
inaumiza sana jaman dahh! pumzika kwa amazing kaka binadamu wamekuwa wa nyama kabsa skuhizi
2026-08-29 18:36:10
0
babycute🥰 :
Ee Mungu wangu tusaidie
2026-08-29 20:22:25
0
user6540363325524 :
daah jaman mungu mupokee mwanaoo😭😭😭😭
2026-08-29 19:07:19
0
matembarebeka :
Ameniuma jamani😭😭😭😭😭😭😭
2026-08-29 20:13:32
0
miss kb🤗❤️🤗 :
😭😭😭😭mhuuu
2026-08-29 18:41:39
0
0670592502 :
naenda kaka ila Kwa uduma iyo aliye ipoteza jibu atalipata tu
2026-08-29 18:38:36
0
To see more videos from user @makelelestewart, please go to the Tikwm
homepage.