@yobotzmedia: #fypシ゚viralシ #fypchallenge #fypchallenge #tanzania #sauzi WAZUNGU WAUNGANA SAUZI AFRIKA Raia wa Afrika kusini wenye asili ya kizungu baadhi waliweza kuungana na kufanya ambushi kwa raia wa Afrika kusini weusi kwa kupinga ubaguzi wanaoufanya nchini humo. Yapata mwezi sasa kuendelea ghasia wanazoziita maandamano ambayo yanapinga uhamiaji haramu kwa raia wa kigeni' cha ajabu ghasia hizo wanawafanyia mpaka watu wenye vibali vya kisheria. Wasauzi Afrika wamekuwa wabaguzi kwa raia wasio wazawa tena mbaya zaidi ni waafrika wenzao, kiukweli inasikitisha sana. Ndimi Muhidini Dua Alaiyka0675197398

YOBOTZMEDIA
YOBOTZMEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 12:30:18 GMT
13435
305
3
25

Music

Download

Comments

user5315558880826
user5315558880826 :
jaman poleni
2026-08-31 16:52:34
1
abassaid05
abassaid812 :
🥰🥰🥰
2026-08-29 20:43:45
1
To see more videos from user @yobotzmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About