@jimmyfreedomfight: #creatorsearchinsights Aliyekutuma mwambie amefeli,unakuja kutoa ushahidi hapa si uende mahakamani, Mtu kama huyu anatakiwa aende jera kabisa,Lakini kwa sababu ametumwa anangaliwa tu, #freetundulissu, #katibampyanisasa,

jimmy classicy Chadema
jimmy classicy Chadema
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 13:26:30 GMT
12404
279
82
50

Music

Download

Comments

man.himself448
Man himself :
Hi post Facebook imeshaondolew
2026-08-29 17:26:04
0
stephanosimkoko
jamrezo :
Brevity is a soul of wit
2026-08-29 16:15:25
0
joohsmc1
SUPER SANGA OG :
lla Bongo 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🫡
2026-08-29 16:45:50
0
user8413148245129
Tuzo amini :
bongo move zmeanza
2026-08-29 16:23:36
0
idrisa.ally177
Idrisa Ally :
mh mh mh
2026-08-29 15:58:21
0
kyala695
kyala :
mtumeeeee😌😌😌
2026-08-29 16:35:20
0
anduru147
am14578 :
Haya TEC na Kitima mliosema kulikuwa na maandamano wahusika hao wanakataa mpo?
2026-08-29 15:33:35
8
hajikashoro
SHEIKH HAJI MBABE :
serikali kamateni huyu mtu ana la kujibu vinginevyo msitupotezee mda
2026-08-29 15:04:47
6
jerome554433541
Eliud Assenga :
mbona muhaini yupo mtani ajakamatwa
2026-08-29 15:43:38
4
www.tiktok.com.gem
GEM :
uzuri ukweli humuacha mtu huru
2026-08-29 15:57:47
3
masichobrand
masicho Brand :
akaelezea vizur kambi ya jeshi
2026-08-29 15:58:00
2
am071215ur9
Aryan :
Ukimaliza hapo utuambie lengo lako ni nini.
2026-08-29 17:02:03
1
shamba969
QFL :
ulikuwa wapi siki zote kutoa ushahidi sahizi watanzani sio wa kudanganywa kijana
2026-08-29 17:16:31
1
abdylugete
abdylugete :
wewe na nani
2026-08-29 17:02:18
0
prophet.kinywa
Prophet Kinywa :
kwaiyo chadema ndo walienda?
2026-08-29 17:12:53
0
user824319352419
Kativo Kativo :
Huyu ndiye muhusika mkuu itakua vizuri angekamatwa na kuhojiwa ili aweze kuisaidia polisi kuna uwezakano mkubwa ndiye alikua kinara wa vurugu zote na kahusika vzr kama anavyojitolea ushahidi akamatwe
2026-08-29 16:38:28
0
kennethkikuri
kenneth kikuri :
mahakamani ulienda?
2026-08-29 17:25:15
0
fadybway
Fady_619 :
uyo sio chadema qnatengeneza picha ionekane ivo tu musitufanye sie watoto bwana
2026-08-29 17:23:41
0
alexmwaipyana478
Alex Mwaipyana :
mtazanzia wa leo siyo wa jana uko ni kupoteza mda brooo njaa mbaya sanaa
2026-08-29 13:50:25
0
user1845323802439
user1845323802439 :
Huyu ni nan
2026-08-29 17:16:42
0
ahalanbinsnilliy2ayus
My Mother 👩 and me call ☎️🇹✔ :
na chengine ukitaka kujuwa kuwa huyu mtu katumwa mbona mpaka sasa hajakamatwa na yeye si uhaini huu wa wazi baba tushakujuwa
2026-08-29 17:43:23
1
kikoti08
kikoti :
Yan hii Dunia mungu atusaidie tz
2026-08-29 17:44:59
0
akayohaog
akayoha og :
hii ni uvccm
2026-08-29 17:38:17
0
shazilmchika4
Mchikatheone :
ni ITV nayojuwa mm au😂😂😂😂
2026-08-29 17:32:21
0
man_tanga
Man_tanga :
Swali 1. Redio Calls WALIPATA WAP?! 2. TCRA kwenye MAWASILIANO hadi yale yanatokea walikuwa WAPI?! 3. Kumbe kuna UKWELU JUU YA TEC na CHADEMA juu ya KUIHUJUMU NCHI
2026-08-29 17:25:53
0
To see more videos from user @jimmyfreedomfight, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About