@official_mbrazil: Wakati niko chuo mwaka wangu wa pili pale @UDSM .. DARUSO - PRESIDENT Siku moja isiyokuwa na jina nilikaa nikawaza nkasema naweza kufika safari yangu ya mziki pekeyangu ila ntachelewa nkakaa nkafkilia nkasema kama DULLA MAKABILA atafungua label ya mziki wa singeli kama @Diamond Platnumz alivyofungua @WCB basi ntaomba mimi niwe msanii wa kwanza kusigniwa katika label hiyo ili nifike kwa haraka kwenye safari yangu ,Baada ya kumaliza BACHELOR DEGREE yangu nkakaa mtaani kwa miezi miwili tu ,mara siku moja KING OF SINGELI aliniita kwa ajili ya mazungumzo na akasema anahitaji kufungua label ya mziki wa singeli na akataka kuanza na mimi kwenye label yake unafkili ilikuwaje?.... ITAENDELEA ila Aliyeiroga MAKABILA GANG alaniwe kama bado yuko hai😭 @Dullamakabila @meddy_makabila69 @Mr leooo leoo leoo #flypシ #trending #foryoupage #kenyantiktok🇰🇪
kaka kwenye mapenzi tusirudi hadi wapunguze UNAFIKI bhn
2026-08-29 14:22:08
10
KIDD⚡🌠 :
Mkubwa mbrazil🙌🔥
2026-08-29 13:29:25
7
Dj willy Tz🇹🇿 :
Ataleeeee🔥
2026-08-30 09:26:32
1
Mdudu%🦖🦖 :
noma sana😃😃😃
2026-08-29 14:38:52
4
It's Mouleedy مولد :
Gulu nation💯
2026-08-29 13:46:55
2
Mo'h white 🔥🌏 :
Qalii 🔥
2026-09-01 17:45:51
0
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-09-01 13:54:27
0
Bad Hunter :
Mkali sana wewe
2026-08-29 14:35:51
2
POPI :
mbrazil unajua sanaaa
2026-08-29 15:03:10
1
jr Scott 🦅🦅 :
Moro kasanga❤️
2026-08-29 21:47:37
1
Oliver__ngg4️⃣5️⃣ :
uliuwa sana,hii show live naisikiliza kila wakati ina balaaa🔥
2026-08-30 09:20:47
1
Tessy :
Mm nilikuwaga wapi 🤔🤔
2026-08-29 16:18:30
0
panchovalentino97 :
nomaaaaaa Saaaana
2026-09-01 08:03:55
0
heshi og :
sisi wakasanga njoen apa
2026-08-31 18:49:57
0
Miran motors :
msanii alafu msomi 🔥
2026-09-07 13:42:33
0
CHILUBA🇿🇦🔥💪💪 :
Mwanetuu hun baya🔥
2026-08-31 19:45:46
0
TINE macavel :
nyimbo ina itwaje iyo ya morogoro kasa iyo
2026-09-01 06:12:08
0
second born💕💘 :
big up sana mrugur mwenzanguu❤️
2026-08-29 20:41:45
0
To see more videos from user @official_mbrazil, please go to the Tikwm
homepage.