Haya TEC na Kitima mliosema kulikuwa na maandamano wahusika hao wanakataa mpo?
2026-08-29 15:33:12
12
Kalila :
Mtasema yoteee mwaka huu
2026-08-29 17:51:29
6
الحبسي :
msema kweli mpenzi wa mungu mungu akubariki kwa ukweli wako
2026-08-29 16:41:06
14
Super Maleta :
safi jenzii kwakutoakodi 😁😁😁
2026-08-29 15:36:15
7
Amina Goryo :
yaan njaa
2026-08-29 17:49:55
4
PETER MANONGI :
huyu nan yani?
2026-08-29 17:36:25
4
Muhu :
asante kwa Taarifa nzuri
2026-08-29 17:51:20
4
jamesmathew410 :
Imagine angekuwa sio wa Kwao?
2026-08-29 16:32:41
5
Dreamsoft Technologies | Apps :
Who is this guy
2026-08-29 20:09:19
1
mbagataally775 :
ivi Babu wa roliondo Bado yupo au
2026-08-29 16:59:51
4
Notorious :
sasa mie duka langu lilibomolewa na rirasi je ni wao ndo walizimimina??
2026-08-29 16:48:48
3
Khamisi Kombo :
Kwanza wamkamate HECHE Aliyatamka kuwa Watahakikisha Kuwa Wanazuia UCHAGUZI
2026-08-29 16:32:46
3
Kala Mzuluvendi :
Kwel Tanzania ya sasa ndyo inathibitisha ujinga ambao rais wa kwanza alisema tupambane nao huyu cku zote alikuwa wapi wakati tume zonaundwa kwa nn asipeleke hayo anayoyasema akayasema kwa waandishi wa habari ili tujue nn mabonye haya au?
2026-08-29 18:25:03
3
BABROMA :
HAINI WEWE SERIKALI IPO WAPIII???
2026-08-29 14:56:00
4
Hamaro Patrick :
Ngoja tuone kama atapewa haki yake ipasavyo
2026-08-29 20:30:55
0
AHR :
hiyo ilikua inajulikana ni wazi kabisa shida kuna watu wanapenda wamekaza fuvu kwasababu tu jambo Fulani au mtu fulani hawamtaki yale hayakuwa maandamano