@jukwaa.la.maarifa: Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amewakumbusha Wanandoa Wote Kua Ndoa Si Mahakama Au Eneo La Kuanzisha Migogoro Baina ya Wanandoa Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Ameyasema Hayo Kutokana Na Visa Mbalimbali Kwasababu ya Vinavyowahusu Wanandoa Kutokana na Kushindwa Kuelewana Baina ya Wanandoa Umuhimu Wa Ndoa Kua Na Maelewano Baina ya Wanandoa Ni Miongoni Mwa Mambo ya Msingi Baina ya Wanandoa Kutokana Na Umuhimu wa Kudumisha Upendo Na Amani Baina ya Wanandoa