@mi_witty: House numbers Spiritually #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #creatorsearchinsights2026 #fyppppppppppppppppppppppp #viral2026

Wity
Wity
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 13:59:07 GMT
26596
842
143
217

Music

Download

Comments

mtumish19
penina :
ukosefu wa ajira nchini haya ndio matokeo
2026-08-30 20:31:29
26
kokubelwa30
Kokubelwa😘 :
Mbona maisha sio serious hivyo embu relax jamani daah. 🤦🏽‍♀️
2026-08-29 15:32:29
50
don_tengo
Massai_Tozzi :
Hivi zamani walikuwa wanaishije maana sahivi wajuaji ni wengi.
2026-08-29 16:29:51
18
hansonschoicedar
Hanson’s choice Dar :
naishi namba 6 yani 🤣🤣🤣
2026-10-15 12:34:21
2
malaikadesignbyshb
malaikadesignbyshb :
Mwenye no 79🙆🏾‍♀️
2026-08-29 15:36:43
5
saggir23
Sag_girl♐️ :
9 mbona kama kweli
2026-09-10 11:03:28
5
hushaaa92
Hushaaa_ :
Sasa tunafanyaje kama kwenu ndo 9? 😂😂nikalale kwa namba 8?
2026-08-29 16:53:26
3
powerfull.assist
Big fish :
No 8😍and it’s true
2026-08-29 16:59:45
2
warden_n
WARDEN :
nyie kila kitu kina maana
2026-08-29 15:46:55
5
marthajeremiah376
mimi :
13 ni namba of God namba ya ukamilifu ndio maana mwaka wa kweli ni miezi 13
2026-08-30 10:03:46
2
goldengracie7
Golden Gracie :
No 4
2026-10-10 21:09:20
1
ts_naryn
Naryn :
Sasa namba 97 je
2026-08-29 16:46:55
3
_teddyjames
Teddie_ :
mmmh kazi ipo kwelikweli😁
2026-09-04 21:10:42
2
rebeccalongton2
Becky Langton 1 :
no 15
2026-09-17 05:27:09
1
barakat_amyn
Barakat :
Heeeeh wewe mwana wewe nyumbani kwetu ni namba 7 na since nimezaliwa mpaka now najitambua hakujawahi kutokea mifarakano ya aina yoyote other than misunderstanding za kawaida tuu😂😂😂
2026-08-29 15:22:18
5
frank.m.fo
KAMANDA WA YESU :
YESU WETU KAENDA WAPI ACHA HIZO
2026-10-11 18:17:19
2
liann4029
LIANN🥰👄 :
Si zile za serikali waliz pitish lokooo inch zim au😂😂😂😂 inch zito hii
2026-09-05 23:00:38
0
einothylaizer
Einothy Laizer the healer :
dada me nyumba yangu ni namba 7 jaman ninaachika tu na nakaaga mwenyewe na nimepitia spiritual awakening sasa niame au vp
2026-08-29 14:54:08
0
jackiemoro_collection
JACKIE MORO COLLECTION :
Kila namba ww unavyoichukulia dear 9 ukamilifu 7 is luckiest number. Mm nakaa 27 ni 9 lakini inakamilisha vitu vyangu vingi sana
2026-08-29 16:06:52
3
mulika_tech_tz
MULIKA TECHNOLOGY :
ya kwetu ni no 7 kwa Mchungaji..... no 7 ni ya KiMumgu Kibiblia....
2026-10-10 23:28:06
1
josephine.raymond86
Josephine Raymond :
Kila kitu ni changamoto jamani kifuatilia hivi vitu tutafika Mbinguni tumechoka Sana.namwamini Mungu Sana
2026-10-11 11:03:19
1
suti_kalii
salomemishishi :
Nyie nanyi 😂😂😂😂,Hebu mtuache sasa
2026-10-06 09:59:09
1
vumy_012
vumy_012 :
Mmefika kwenye no za nyumba wanetu 😂😂
2026-10-11 08:46:03
1
mrsdr311
Mrs🎶…soul🧿 :
Heeeee yetu ni no 7 na hamna mgeni ansyekuja gyz
2026-09-14 04:03:32
1
dr.storme7
Dr.Storme :
9 can also mean completion 😃
2026-09-14 20:09:30
1
To see more videos from user @mi_witty, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About