๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Basssssss hii imenda nimefrah kweli
2026-08-29 16:08:48
0
NANA ARTS๐บ :
Kunywa soda nakuja kulipa ๐๐๐๐
2026-08-29 15:13:21
89
๐H๐ฏ :
๐๐๐ samhn kipenz nakukosoa kdgo nywele si nature ya mtu bali huitaji matunzo t ili iweze kukuwa
2026-08-29 15:07:40
63
Rabbaitul Bait :
asanteeee....๐
2026-08-29 17:31:24
0
AnnarahMasolwa :
Necharali
2026-08-29 16:49:31
0
Rumaูtha๐ท :
Asante ๐ซฑ๐ฝโ๐ซฒ๐ผUmeongea point
2026-08-29 16:28:44
0
lujy :
yaaaaa dats right๐
2026-08-29 16:02:48
0
millah92 :
Nilishawahi kusema hakunaga mafuta ya kukuza nywele, nywele ni asili ya mtu hakuna namna ya kipilipili kuangukia mgongoni mnadanganywa
2026-08-29 15:34:54
23
chia :
kwakweli umeongea ukweli sijui wanatuonaje
2026-08-29 16:21:58
11
Miymah๐๐ฅฐ :
Kuna mengine yanakuza kweli
2026-08-29 16:24:30
3
๐ฆ๐ :
shoga umesema ukweli kbs nakupenda bure bure ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-08-29 14:57:30
7
haflittar :
๐๐๐๐waambie hao
2026-08-29 15:19:33
4
Tayba112 Stylish :
jaman mdogo wangu mie nisamehe, ila yapo mafuta ambayo kweli yanajaza , yanakuza. ila kwa sasa wajuaji ni wengi. ila mie nilinunua mafuta Tanga bwana hayo mafuta mashaallah
2026-08-29 15:32:35
7
Raysam๐ :
Fanyeni steaming ya pilipili kichaa nywele atlist zinakua km singa
2026-08-29 17:48:35
1
Nuswaybah :
Haswaaaaa
2026-08-29 14:32:48
0
mayraa :
Mengine yanakuza vizuri ๐ me mbna zangu zimekua kwa mafuta
2026-08-29 16:26:49
2
mrsaid92 :
manal hair
2026-08-29 14:21:59
0
miss_pasion :
Bora umesaidia kuwapa ukweli ๐๐๐na nywel ni matunzo isipokuwa inakatika inakua tu
2026-08-29 16:38:01
3
Mpemba_cake_ntyuka :
tena saiv ndo wamekuwa wengi balaaa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2026-08-29 16:10:14
0
๐ฅฐ๐ค๐ :
swadaktaa mpnz ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-08-29 16:16:47
1
ZAIKO NATURAL HAIR OIL :
uhakika tunao acha kuharibu biahsra za watu
2026-08-29 17:05:07
1
decory2016 b :
true
2026-08-29 15:29:33
2
ุญูููุฉ ๐ :
Wee sema hujapat mafuta mazr dia ila mafuta yanasaidia san sana kukuza nywele mm ni shahidi
2026-08-29 17:07:24
1
Zayglam-Makeup :
Nywele inakuwa dear Ila sio kwa mafuta tuu ukiifatilia kwa treatment Kama hot oil,deap condition protein nywele lazima utaona matokea sababu haitakatika na itakuwa laini vizuri
2026-08-29 17:01:52
1
To see more videos from user @muaydi3655678, please go to the Tikwm
homepage.